Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa wake.kila zama na ....?
Ongezea na international collabo alizofanya, nahisi ni link ya wa WCB pia.
wenye mawazo kama yako wako wachache sana
Hapa nimecheka juzi watu walikua wanamponda burna boy leo wanafurahia hio colabo aiseee
Huu mda wa kuchambua na kujua idadi ya nyimbo kwa kila mmoja, ungeutumiakutafuta/ kuvumbua dawa ya corvid-19, ungekua tajiri sana.Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
sawa sawaMimi binafsi naamini hawa watu bifu lao siyo kubwa kama sisi washabiki tunavyotaka liwe, Diamond na kambi yake mpaka sasa sijaona kama wana figisu zozote wanazofanya kwa Harmonize, kitu ambacho siyo cha kawaida.
Inawezekana figisu zipo, na Harmonize kambi yake ikawa strong kiasi cha kupambana nazo, all in all Harmonize kama akiamua kufanya vizuri na kambi yake, ana hiyo potential.
kazi kazi tu ndio kilichobakiThough inaweza kuwa coincidence, na vile kwamba Harmonize bado anamchukulia Diamond kama role model wake ndiyo maana anapita kwenye njia zote za jamaa.
All in all, event ilikuwa poa sana.
Binafsi pia napenda jinsi Harmonize anavyo iaddress WCB kwa heshima, na wao pia wameacha vijembe kuelekea kambi ya Harmonize.
Ni muda sasa kazi ziwe zinajibiwa kwa kazi.
ndugu yenu anakufa kifo cha mende teeh😃.Timu domo huwa mnafurahisha.
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
Wasafi ni ny*ko wamemzima kilaini sana kipenseli na huu mchezo wote anaujua ndio maana anamdisi sana Diamond ipo siku atauanika