Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

Mkuu,WCB wamemuua Mavoko kisanii?? Kivipi nieleweshe vizuri,Ninachokijua mimi WCB ndio walimrudisha Mavoko kwenye tasnia baada ya kupotea.
Huyo dada ana chuki mpaka anashindwa kutengeneza point zake vizuri
 
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.

Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu

Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye

Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,

Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi

Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?

Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
Hakuna kitu kigumu kama kitu kipotee ndani ya nyumba alafu uko peke ako, dirisha halijavunjwa wala mlango, Hapo ubongo unawazaaaa ukikosa jibu baada ya Glucose kushuka chini sana, unaanza kutengeneza majibu yake huku ukiyafanya kama ndio majibu rasmi ili suala hilo la kuibiwa lisiendelee kuumiza kichwa. Tunashkuru Mtoa mada kwa mtizamo wako. #Jihadhari na Corona
 
Nakumbuka kulikuwa na thread tulijadili hii kitu, kwenye kuingia na kutoka.
Kuingia alipatia cos alikuwa teyali amepotea kimziki baada ya kuwa chini ya kingkaka baada ya kusigniwa na WCB ndo akafufuka na anatengeneza hit kibao zilizofanya vizuri Kama ibaki story, kokoro, show me n.k na akapata show nyingi Sana kosa alilolifanya ni kuondoka Wasafi bila kujipanga kuishi maisha bila Wasafi.Sasa hiv Hali yake imekuwa mbaya zaidi na inaonekana akili zimemruka baada ya kupost kwenye insta yake akikojoa kichakani
 
Sawa
 
Mavoko aliingia wcb akiwa anawaka mkampaka mafuta ya mgongo mkidhani mnamng'arisha zaidi kumbe mnamuongezea chunusi. Ni sawa na kumdaka aslay au nandy saiv mje mtambe mmemng'arisha. Mavoko aliweza kusimama peke yake.

Kama wcb inang'arisha wasanii yuko wapi lavalava?mboso tu anahangaika sana
Mkuu,WCB wamemuua Mavoko kisanii?? Kivipi nieleweshe vizuri,Ninachokijua mimi WCB ndio walimrudisha Mavoko kwenye tasnia baada ya kupotea.
 
Back
Top Bottom