Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

wenye mawazo kama yako wako wachache sana

Though inaweza kuwa coincidence, na vile kwamba Harmonize bado anamchukulia Diamond kama role model wake ndiyo maana anapita kwenye njia zote za jamaa.

All in all, event ilikuwa poa sana.

Binafsi pia napenda jinsi Harmonize anavyo iaddress WCB kwa heshima, na wao pia wameacha vijembe kuelekea kambi ya Harmonize.

Ni muda sasa kazi ziwe zinajibiwa kwa kazi.
 
Hapa nimecheka juzi watu walikua wanamponda burna boy leo wanafurahia hio colabo aiseee

Mimi binafsi naamini hawa watu bifu lao siyo kubwa kama sisi washabiki tunavyotaka liwe, Diamond na kambi yake mpaka sasa sijaona kama wana figisu zozote wanazofanya kwa Harmonize, kitu ambacho siyo cha kawaida.

Inawezekana figisu zipo, na Harmonize kambi yake ikawa strong kiasi cha kupambana nazo, all in all Harmonize kama akiamua kufanya vizuri na kambi yake, ana hiyo potential.
 
Huu mda wa kuchambua na kujua idadi ya nyimbo kwa kila mmoja, ungeutumiakutafuta/ kuvumbua dawa ya corvid-19, ungekua tajiri sana.
 
sawa sawa
 
Huu mda wa kuchambua na kujua idadi ya nyimbo kwa kila mmoja, ungeutumiakutafuta/ kuvumbua dawa ya corvid-19, ungekua tajiri sana.
nisaidie wewe kuvumbua hiyo Dawa, mimi hili nimeona ndio linanifaa
 
kazi kazi tu ndio kilichobaki
 
WEWE NDIO UMEONA KAMA MIMI...

LENGO NI KUMTOA ALIKIBA KWENYE MIDOMO YA WATU KUPITIA DIAMOND...

DIAMOND AMEMTOA HARMONIZE MBAKI MNO... NA KATIKA WASANII WAKE WOTE.. HUYO NDIO ALIKUWA AKIMPENDA SANAAA....

KAMCHEZO TU WAMECHEZESHWA MEDIA ZA BONGO...

KWA SABABU WALIKUWA WANAMTAFUTA MTU WA KUMSHINDANISHA NA DIAMOND... KIBA WALIKUWA WANAFORCE TU... WALIJARIBU HATA KWA ASLAY WAMEFELI...

ILA KWA HARMONIZE WAMEJIKOROGA MASKINI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana walijaribu kumweka karibu hamo na kiba... Lkn imeshindikana... Kiba ni mtu mzima anaelewa ila ndio ivo akili za michezo hana...

Astaafu tu mziki atulizane kwenye ibada...
Wasafi ni ny*ko wamemzima kilaini sana kipenseli na huu mchezo wote anaujua ndio maana anamdisi sana Diamond ipo siku atauanika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninacho jiuliza mimi ivi harmonize collabo na Morgan haritage ameipataje na ikumbukwe morgan kuna kipindi walikuj bongo na walionekan na harmonize studio kipind harmonize yuk WCB na ata collabo yake na yemi alade ameifanya akiwa WCB lakin imekuja achiwa baada ya kutok wcb kiukwel kuna kitu hapa kina jificha maan WCB ni wazee wa fitna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…