Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

ndugu yenu anakufa kifo cha mende teehπŸ˜ƒ.
Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...

hafanyi mziki kwa sababu fulani eti afanye vile nimshushe yule hapo ndio wengi walipo mshindwa.akitoa kitu utawasahau hao jirani zako kwanza ni mtunzi mzuri yaani kuandika ni kipaji ndio maana hajawahi kutoa ngoma mbovu.analijua game la bongo liko na linatakiwa liendaje.ndio maana alikiba anajulikana kwa mziki.atembelei nyota ya mtu,eti nikiwa na demu yule nitaongeza umaalufu.
 
hatari sana, JICHO PEVU
 
hahahahahha hapo ndio unajua hujui
 
anasepa na kijiji, kwanini asisepe na wilaya au mkoa..?
 
Huyo mzee wa maboko mnasema hajawahi toa ngoma mbovu?🀣🀣
 
Ni mbinu tu hizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmo alijipanga,halafu ana mzungu anayempa jeuri. Wale walimshindwa.
 
Ila unahisia nzuri"sisi watu wa nangwanda tunasema unajipa moyo". basi wcb ilishikwa pabaya mpaka kuamua kutumia mbinu hizo, inamaana ilielekea kufa,sidhani kama ni kwer.
 
Kwahio Morgan heritage sababu waliimba na Diamond hawawezi kuimba na msanii mwingine hapa Tz? kuna kitu WCB wanafanya nyie watu sio bure maana hizi sio akili za mtu timamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa alicia na mastaa wengine woote walipiga picha na domo ni mali ya wcb,msanii yoyote akionekana nao basi ujue kaunganishiwa na wcb. Hii ni kwa mujibu wa misukule ya wcb
Kwahio Morgan heritage sababu waliimba na Diamond hawawezi kuimba na msanii mwingine hapa Tz? kuna kitu WCB wanafanya nyie watu sio bure maana hizi sio akili za mtu timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio Morgan heritage sababu waliimba na Diamond hawawezi kuimba na msanii mwingine hapa Tz? kuna kitu WCB wanafanya nyie watu sio bure maana hizi sio akili za mtu timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…