Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

Anyway hizi story zipo sana huko Twitter ,but sijui nako huwa unaziandika wewe ama la?
Kabisa pongezi ziende Twitter kwa kina Chapo na wengineo
huyo Chppo huwa anaoteshwa..? Chappo hupewa madini ndio anaenda kuwaandikia huko twitter, tuache kumpa sasa uone kama kuna atakachoandika
 
Harmonize si muimbaji vile aliimba pale Mlimani City ni dhahiri hana talanta kizungu kibovu
Diamond simfuatilii sana lakini bado ana uimbaji mzuri kuliko huyu mmakonde
 
Harmonize si muimbaji vile aliimba pale Mlimani City ni dhahiri hana talanta kizungu kibovu
Diamond simfuatilii sana lakini bado ana uimbaji mzuri kuliko huyu mmakonde
sijakuelewa bado ulikuwa unataka kuchangia/kufikisha ujumbe gani
 
wote wapo chini ya watoto wa mjini wapiga dili TALE na MKUBWA FELA
 
Naongeza
Host wa tukio la diamond kuhusu kuwa ambassador wa zile rangi alikuwa Taji
Host wa afro East alikuwa Taji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…