Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

Haka kajamaa kanakujaga na Maono yake ya ovyo ovyo, alikuja na Maono ya Stamina NOT TRUE STORY CHANGA LA MACHO BISINESS WISE

Sa hizi kaja na utabiri wa Harmonize na Diamond
 
kuna mahala unateseka..?, si lazima upite kwenye nyuzi zangu, mita100
 
Acha kudanganya raia kwa maono ya Ovyo ovyo yasiyo na uhakika, unayaleta kama vile una uhakika

Uwe unatanguliza Neno utabiri.
 
Huwezi ita takataka kitu kinachomlipa mtu millions of money ambazo hadi unastaafu huwezi zipata kwa ngoma yake moja hiyo unayoita ya kukopi brother.
nakaa hapa pembeni namsubiri kama atarudi
 
Back
Top Bottom