Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

out of topic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakomae tu, soko la muziki Tanzania bado ni changa sana, kila mmoja anayo nafasi ya kupata bila kuathiri kupata kwa mwenzake.

Ni muda sasa tutaanza kuona kazi zenye ushindani kutoka kila kambi.
Yes hilo ndo tulilokuwa tunalitaka.. Kuweka ushindani angle zote..
Hii itaongeza ubunifu kwenye mziki huu..
Na sio kukusanya wasanii kuwarundika sehemu moja ili eti mtawale..

Big up bro
 
Nimeisikia aisee, hongera yake aisee.

Naamini timu Konde Gang itakuwa shangwe sana leo.

Rebeca 83 atakuwa yuko shangwe sana.
Muda wa kununua zile VX V8 ziwe zake sasa maana mnyamakazi Mondi nmeona amemdiss flani kwenye clip kupitia zile Landcruiser zake kwamba raha ya ku cruise gari ziwe zako!
 
Njia ya mafanikio imeshapatikana tayari.

Huyu katoboa tayari.
Eeh mzee, usifanye masihara na deals za namna hio. Yuko na Menejimenti inayojielewa. Kula 700M kwa mwaka sio kitoto na kwa uchumi huu wa Magu kmmmae hapo azembee tu sasa maana mwenzie ana tofali za kutosha mjini Dar hapo

Sema atoe ngoma kali sasa sio takataka anazo release sasa.
 
Eeh mzee, usifanye masihara na deals za namna hio. Yuko na Menejimenti inayojielewa.

Sema atoe ngoma kali sasa sio takataka anazo release sasa.

Hapo kwenye ngoma inabidi afanyie kazi, kiukweli mpaka sasa naona bado hajatoa hit ya kusumbua kitaa kama zile ngoma zake akiwa WCB.

Nafikiri kazi zitaanza sasa, maana presha ya mfukoni kidogo inaanza kupungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…