Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri mfano riziki.

Sujuda ni modality tu mojawajo katika mifumo ya kuomba. Sujuda ya Harmonize hata Mungu anaikubali, yatupasa kufahamu ya kwamba sisi ni miungu hivyo Mungu yupo ndani ya Madam Ritha.

Hata awe nani kumshukuru Mungu kwa kufanya kupitia Madam Ritha na kumbariki Harmonize ni jambo la heri.

Hisia kali zenye tafsiri chanya katika uungu wake Mungu, tafsiri na mapokeo ruksa kutofautiana.

Mimi nawaombea watu kwa kuinama na kushika miguu yao na inapobidi kwa umahususi maalum nawaosha na maji yenye chumvi na dua ya kuinama.

Tuliumbwa na akili kubwa ili tuyaone na kuelewa mambo makubwa na madogo.



Wadiz
 
Labda nijaribu kusoma kutoka chini kwenda juu,pengine ntaelewa
 
Sujuda ni modality tu mojawajo katika mifumo ya kuomba.
 
Lau kama Mwenyezi Mungu angetoa kibali cha watu wasujudiane basi mke angemsujudia mmewe……
 
Back
Top Bottom