Yes naweza kusema mchakato 60% uko sawa, bado mambo machache ya kuweka sawa ila najikutaga mzito sana kuzama mzima mzima huko.. sometimes nahis naepushwa na huo ulimwenguKutoboa ni mchakato na sio suala la kuamka tu
Nani keshawahi kili anashiriki, ushirikina ni just a part tu
Ni watumwa wanautajiri lakini hawana nuru,means amani ya moyoni jiulizeTukiongea uhalisia wasanii hawana furaha kabisa behind the scene ni maisha ya tabu sana wanapitia na ma stress ya kufa mtu ndo mana wanashauri fanya mziki kama side hustle ikitiki poa, ikikataa tusikuokote majalalani
Ewaaaah hiyo hiyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ile anamtaja had mwijaku??.....anasema tuombeane mambo mema??...konde ukiacha mambo yake nje muziki ni msanii mkali sana diamond atakua anajuta kuipoteza hii dhahabu
Inaitwaje besty,Nyimbo nzuri sana