Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

Kutoboa ni mchakato na sio suala la kuamka tu
Yes naweza kusema mchakato 60% uko sawa, bado mambo machache ya kuweka sawa ila najikutaga mzito sana kuzama mzima mzima huko.. sometimes nahis naepushwa na huo ulimwengu
 
Tukiongea uhalisia wasanii hawana furaha kabisa behind the scene ni maisha ya tabu sana wanapitia na ma stress ya kufa mtu ndo mana wanashauri fanya mziki kama side hustle ikitiki poa, ikikataa tusikuokote majalalani
Nani keshawahi kili anashiriki, ushirikina ni just a part tu
 
Riziki mafungu Saba pengine Leo ndio sita yako.....
Ogopa ROHO ya kusita...sita
Tumekulia vipolo.....

Nikajuta Kwan sikusomaa....jua linavyo chomaa...usiku barid kidogo initoe uhai....

KULA KINACHO LIWA....

Kingereza nilichokariri labda Tomorrow

"Harmonize ni Moja ya watu walio toboa kwenye tundu la haiwezekani"
 
Tukiongea uhalisia wasanii hawana furaha kabisa behind the scene ni maisha ya tabu sana wanapitia na ma stress ya kufa mtu ndo mana wanashauri fanya mziki kama side hustle ikitiki poa, ikikataa tusikuokote majalalani
Ni watumwa wanautajiri lakini hawana nuru,means amani ya moyoni jiulize
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ile anamtaja had mwijaku??.....anasema tuombeane mambo mema??...konde ukiacha mambo yake nje muziki ni msanii mkali sana diamond atakua anajuta kuipoteza hii dhahabu
Ewaaaah hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom