Harmonize, Huo ni Ushamba

Naona nyimbo nyingi anazotoa karibuni ni remix ya nyimbo za wenzie.
 
Sijausikiliza ila kamakafanya hivyo basi ana diamophobia maana kumuitadiamond mshamba ni kosa la kimkakati.
 
Hata kabla ya 'intaneti' kufungwa ulishaanza kupotea! Ungetumia hata 'vipieni' tu jamani!
Haha hivyo eeh? Mbona mimi nipo sana tu, labda tu tulikuwa hatuonani. Vipi hujambo lakini?
 
Ila Mariana a.k.a Zoe ulipotea sana best yetu hadi nikahisi umechaguliwa kuwa kwenye vile vikosi vya kuiba kura na kuwatesa wananchi wa Zanzibar
Ni ushamba kuchanganya mambo ya siasa kwente mada kama hii...umeibiwa umeibiwa haya ya shakuwa madai ya kishamba.
 
Aache ujinga afanye mziki, yaani bado anaangaika na Mondi mpaka leo! !
 
Bahati mbaya Dunia haijawahi kuwa fair kwa yoyote yule, si Diamond, Ally, Harmo, Roma au Stamina na wengine wengi, Nitashangaa siku kama msanii au mtu yoyote atapendwa na watu wote, na nitashangaa akichukiwa na watu wote. Ndio hulka yetu sisi wanadamu, tunakuwaga una uwendawazimu wakuchukia vingine hata visivyotuathiri au kutugusa. Mengine ni kuyaacha yapite tu won't cost you anything.
 
"limechoka acha nilikalagaze
halina meno ilo simba zeee
likila demu lazima litangaze "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…