Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona nyimbo nyingi anazotoa karibuni ni remix ya nyimbo za wenzie.Hiyo style yako ya kumpa promo Mmakonde wako, imefanya kazi. Umewapata wengi sana. Hongera, ni ubunifu wa marketing.
Sasa tuje kwenye uhalisia. Huu wimbo ni coma cover version ya 'Ahh wapi' wa Wozhu. The way anavyo-sound mpaka kwenye video. Siyo mbaya, kajitahidi ila bado haijamfikia dogo wa Chuga.
Dah nimekumiss vibaya hovyo! Mbona unapotea hivyo jamani!
Haha hivyo eeh? Mbona mimi nipo sana tu, labda tu tulikuwa hatuonani. Vipi hujambo lakini?Hata kabla ya 'intaneti' kufungwa ulishaanza kupotea! Ungetumia hata 'vipieni' tu jamani!
Khaa hebu mwache mdogo wangu bwana...watu wa jinsia moja hawatakiwi kupendana?Kummiss mwanamke mwenzio ni mapenzi ya jinsia moja![emoji41]
Khaa hebu mwache mdogo wangu bwana...watu wa jinsia moja hawatakiwi kupendana?
We bazazi siwezi kukupa mdogo wangu hata siku mojaMimi si nipo, akuye tupendane.[emoji39]
We bazazi siwezi kukupa mdogo wangu hata siku moja
[emoji16][emoji16][emoji16] aah wapi sio kweliKuna mmoja ulinipa kwa ile ID nyingine![emoji12]
Ni ushamba kuchanganya mambo ya siasa kwente mada kama hii...umeibiwa umeibiwa haya ya shakuwa madai ya kishamba.Ila Mariana a.k.a Zoe ulipotea sana best yetu hadi nikahisi umechaguliwa kuwa kwenye vile vikosi vya kuiba kura na kuwatesa wananchi wa Zanzibar
Aache ujinga afanye mziki, yaani bado anaangaika na Mondi mpaka leo! !Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video.
Wasanii idea za video na nyimbo wanazotunga huwa wanawaza wapi ndugu zanguni? mbona kama wote wapo mule mule kwenye bahari 1 ya mawazo mtu ninaemuona anaogelea kimawazo bahari tofauti na wenzake ni diamond,ila hizi idea za namna hii kweli unasema ni msanii kaimba hiki kituko?
Hamonize huo ni ushamba narudia tena kumuweka diamond feki kwenye wimbo wako kumekurudisha hatua 100 nyuma,matokeo yake hutoyaona sasa hivi subiri mwenzako atoe kitu ndio utajua hasira za mashabiki zake.
moja ya nyimbo mbovu kuwahi tungwa na huyu mmakonde ni hii HUO NI USHAMBA.
Usikonde! Siku nyingine nitakumiss wewe basi!Kummiss mwanamke mwenzio ni mapenzi ya jinsia moja![emoji41]
Mimi sijambo hofu kwako tu. Shikamoo.Haha hivyo eeh? Mbona mimi nipo sana tu, labda tu tulikuwa hatuonani. Vipi hujambo lakini?
Marhabaa mtoto mzuriMimi sijambo hofu kwako tu. Shikamoo.
[emoji5][emoji5] [emoji4][emoji4]Marhabaa mtoto mzuri