Harmonize, Huo ni Ushamba

Uo ni ushamba
 
Harmonize na timu yake wamefiliska, ameona haongelewi tena ameambiwa mtu pekee wa kumgusa n Diamond,, hadi tattoo n sawa na za Platnumz, wimbo hauna kik
 
Hiv kwanini kila msanii akitaka Kiki lazima amtaje diamond?
 
"limechoka acha nilikalagaze
halina meno ilo simba zeee
likila demu lazima litangaze "
Diamond alilipwa kutokea kideo kama yule Nugus nyimbo za khasim mganga
 
itakua anatafuta kiki ya kitamasha chake maana kimekaribia
 
Kushoto kulia,hujanikomoa,Hainshtui now huo ni ushamba.............

Uzuri wenyewe siku hizi Chibu hajibu.Anaacha kupromote album yake anahaika kuponda manake alisema ana video zote 18,lkn sizani kama video alizotoa zinazidi 5 za hiyo album,kuna nyimbo mbili kali ya ft Morgan Heritage -Makaika na ft Skales-Rhumba,ila yy kakomaa na hizi nyimbo ambazo hazi msaidii kitu,zinashindwa kutrend hata Kenya.

Diamond anamfikiria sana mpaka anamtoa nje ya mstari,manake alisema tarehe 7 Nov angekuwa na Tamasha Uhuru Stadium kwa mda wa siku 3 mfululizo lkn kimya,katuhaidi kutulia Ubwabwa kila baada ya kipindi fulanikama Rungwe lkn nayo kaifanya mara Karume moja baadae kimya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] napenda umbeya kuliko hata kula
 
Kwenye akili yako kuna mind set ya ukabila, jitafakari

Hata hivyo jukwaa hili hakuna kitu Harmonize afanye kikasifiwa, ni vile tu hamuwezi kumshusha!!

Kuhusu Diamond fake kwenye wimbo huu mpya ni kama vile unataka kusema Harmonize kamuattack Mond, hilo ni kweli. Lakini kwa wanamuziki wenye ushindani hilo si tatizo, ndio maana hata Diamond anapomshambulia Ally Kiba kwenye wimbo mnafurahia, si unakumbuka Mond aliwahi kusafiria trend ya "pencil?" Akamdis Kiba kwa maneno, "Alitaka beef mserereko, tumemkwepa!!"
Unadhani Mond alikosea!! Hapana. Kisanaa alikuwa sahihi na ndio maana mashabiki wake mlifurahia.
Leo kapigwa wako, vumilia.
 
Hii ni biashara mkuu

Wabongi wengi wanadhani Diamond na Harmonize haziivi lakini kiukweli lengo la hili bifu feki ni kumzima alikiba kutoka wasafi vs kiba kwenda Diamond vs harmo vs kiba, na kwa sasa hali ilivyo kiba anakaribia kufutika hapo.

Lengo la pili la hili bifu feki ni kupiga pesa na kuongeza umaarufu kwa kiki, Mfano huu wimbo mpya wa harmonize umewafanya mashabiki wa diamond kuwa karibu sana na vyombo vya habari kujua ni nini diamond atajibu na vilevile ni fursa ya kuchapa pesa kwa harmonize huko youtube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…