Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume 😅
Huenda kijana karogwa!!
wanawake wa mjini wana mambo mengi
 
Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Mabinti wabichi wapo kibao hajawaona hao kaenda kwa Kajala, huyo ndio kampenda tumuache yakibumburuka atajijua mwenyewe.
 
Dogo kanunua gazeti jioni, watu wakisha Soma Sana yeye anaona ni breaking news.
Ushamba mzigo.
 
S

Sidhani, kuna. Mambo ya uasherati, uhanisi, magonjwa mfano HIV, hiyo inafanya ndoa kuvunjika na Kupeana talaka
Mama. Biblia inasema samehe saba mara sabini. Kwa wakatoliki ndoa haivunjiki hata kama ulimfumania mara kibao. Hata kama anakusaliti na ndugu zako bado atatambulika kuwa mme au mke wako. Ndio maana ya KIFO KITATUTENGANISHA. Hapa JF watu hawana kabisa elimu ya ndoa. .

Endapo watu wameoana na hawajashiriki tendo la ndoa na ule muunganiko haujafanyika unaweza vunja ndoa kwa scenario hiyo. Ila kama tendo la ndoa ushiriki wake una kasoro kubwa kanisa linaweza kukaa tena ruhusa unaweza pata hata five years. Mfano ukute baba ana maumbile ya tembo mama ana maumbile ya kuku kupelekea kushindwa kushiriki tendo la ndoa na kuleta maumivu kw mwaname. Ila ukikuta uke mkubwa na mume kibamia hiyo haina kuachika. .

Nitakuazima kitabu cha catholic kinaonyesha sababu za kuvunja ndoa, nikienda kukitafuta home. .
 
Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Hili suala jinsi lilivyokaa aisee naanza kuamini Uchawi upo!
 
Harmonize sio mjinga, upepo wake uko kwa Kajala. Kutoka nae kumempa mileage sana katika umaarufu na recognition. Ni nyota tu inawaka zaidi akiwa na Kajala ndio maana hata kipindi hawako wote watu walikuwa wanampuuza tu.
Ngoja atulize akili kwa Kajala,maana akili ikitulia hata kazi inafanyika vizuri,sasa hivi atakuja na mipini mikali.
 
Harmonize atakuja kumla mama na binti pamoja (mtungo ), tutaona ni suala la mda tu.
 
Tufanye hamo ni namba D kabisa kajala ni wale walikuwa TZA3428😅😅😅😅😅
Wanapendana na kuridhiana. Kama Roby anafunga Goals za kumtosha mlitaka apate Nini zaidi. Kuwin Someone's heart to this extent ni Pongezi Kwa Kaj. Let them live their chosen Life.
 
Hawa jamaa hawako commited na dini yao....sijui vp
 
Angekuwa mkristu amebadili kwenda uislam [emoji1787][emoji1787] ungeona , Mashallah Mashallah za kutosha Allah Akbar , karbu Kwenye Dini ya haki , uislam utatawala Dunia , haha
Mbona Mashallah Mashallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanapendana na kuridhiana. Kama Roby anafunga Goals za kumtosha mlitaka apate Nini zaidi. Kuwin Someone's heart to this extent ni Pongezi Kwa Kaj. Let them live their chosen Life.
Tuwape siku ngapi kwaiyo
 
Back
Top Bottom