Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Marehem alikuwa na nyege sanaEheheh wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehem alikuwa na nyege sanaEheheh wivu tu
Hahaaa wanawake zetu wanalakujifunza hapaAtakuwa mtamu sana na anajua kusimamia show uwanja qa seremala.
Huenda kijana karogwa!!Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwaNamba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.
Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume 😅
Mabinti wabichi wapo kibao hajawaona hao kaenda kwa Kajala, huyo ndio kampenda tumuache yakibumburuka atajijua mwenyewe.Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwaNamba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.
Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Mama. Biblia inasema samehe saba mara sabini. Kwa wakatoliki ndoa haivunjiki hata kama ulimfumania mara kibao. Hata kama anakusaliti na ndugu zako bado atatambulika kuwa mme au mke wako. Ndio maana ya KIFO KITATUTENGANISHA. Hapa JF watu hawana kabisa elimu ya ndoa. .S
Sidhani, kuna. Mambo ya uasherati, uhanisi, magonjwa mfano HIV, hiyo inafanya ndoa kuvunjika na Kupeana talaka
Hili suala jinsi lilivyokaa aisee naanza kuamini Uchawi upo!Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwaNamba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.
Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Ngoja atulize akili kwa Kajala,maana akili ikitulia hata kazi inafanyika vizuri,sasa hivi atakuja na mipini mikali.Harmonize sio mjinga, upepo wake uko kwa Kajala. Kutoka nae kumempa mileage sana katika umaarufu na recognition. Ni nyota tu inawaka zaidi akiwa na Kajala ndio maana hata kipindi hawako wote watu walikuwa wanampuuza tu.
Wanapendana na kuridhiana. Kama Roby anafunga Goals za kumtosha mlitaka apate Nini zaidi. Kuwin Someone's heart to this extent ni Pongezi Kwa Kaj. Let them live their chosen Life.Tufanye hamo ni namba D kabisa kajala ni wale walikuwa TZA3428😅😅😅😅😅
Harmonize atakuja kumla mama na binti pamoja (mtungo ), tutaona ni suala la mda tu.
Mbona Mashallah Mashallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angekuwa mkristu amebadili kwenda uislam [emoji1787][emoji1787] ungeona , Mashallah Mashallah za kutosha Allah Akbar , karbu Kwenye Dini ya haki , uislam utatawala Dunia , haha
kivipi mkuu wakati alikuwa anamwambia Paula washa taa aone dudu.Dua la Kuku Kwa Mwewe.
Angekuwa mkristu amebadili kwenda uislam [emoji1787][emoji1787] ungeona , Mashallah Mashallah za kutosha Allah Akbar , karbu Kwenye Dini ya haki , uislam utatawala Dunia , haha
Tuwape siku ngapi kwaiyoWanapendana na kuridhiana. Kama Roby anafunga Goals za kumtosha mlitaka apate Nini zaidi. Kuwin Someone's heart to this extent ni Pongezi Kwa Kaj. Let them live their chosen Life.