B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru sana mkuu mimi kama Konde boy naahidi kuyafanyia kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru sana mkuu mimi kama Konde boy naahidi kuyafanyia kazi.
Nimeisikiliza yote... Naweza kusema ni the best interview ever kwa wasaniii wetu hawa wa kibongo... Watangazaji walitaka kumtumia kuendeleza bifu lakini amewa outsmart pakubwa... Amewa frustrate sana haya yule wa kike...
Bado ana heshima kubwa kwa WASAFI na anawathamini na kuwaheshimu na kuwategemea sana... Amakinike tu na team yake na ahadi ya ubunge
Mbona ndogo sana hizo inafaa 3+billionHivi kweli unamdai Mtu gharama Zote ulizomsaidia katika kutengeneza Videos toka anatoka mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mil 500 juu[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119]
Anaweza mpaka kupata uwaziri kisha likatokea jambo akatumbuliwa... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]shida itaanzia hapo
Tumuombee kijana huyu asije kengeuka
Amesema wap anaumia...... Ila wabongo ww wape picha stor watakupa wenyewe [emoji23][emoji23]
Kijana anaweza apewe time.. anajambo huyu tatizo cc wa Tanzania tunakatishana sana tamaa na uoga na unafiki tulio nao ndo unachelewesha maisha yetu. Sitaamini na siamini kama leo hii Harmonize anaweza akamdharau Mond.
Well said dr mshana Kitambo icho tulikua tuna waita wapambe nuksiHakuna kitu kina nguvu kama wapambe.. Hasa ukishindwa kuwa control
Alimsahau unaushahidi bob junior si alikuwa producer..?kwani alikuwa amemsaini diamond kweli shule muhimu kasome ujue kuandika factMond mbona alimsahau Bob junior, Ruge na Papaa Misifa, maisha yanaenda kwa kasi. Punguzeni kumuwangia Konde.