Ya USA na bongo wapi na wapi ??Lil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya USA na bongo wapi na wapi ??Lil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Tuliwaambia watoto wadogo
Ikikua WCB itakuwa mbaya Kuliko Clouds Media group
Huenda Ruge tutamkumbuka kama tunavyomkumbuka Mkwere
Kwa lolote liwe baya Au jema
Qboy na Harmonize viwango viwili tofauti, umbali uliopo ni sawa na mbingu na ardhiKwahiyo bashite asinge ongea vile leo kusingekua na uzi wa kumuhusu harmonize.
Usinikumbushe ya qboy msafi aliondoka kwa mbwembwe wcb saiv analia anaomba arudi.
Boss wake nidhamu kaitoa wapi !?Harmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake
Nasadiki maneno yakoDili done [emoji736] kwa KIKI ya ngoma yake mpya ambayo anatoa mwezi wa 2-2-2019.
Endelea kutoa promo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilikuwa na mawazo kama haya, ila sasa kiasi umenidhibitishia.Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.
Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...
ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww hujafuatilia vikumbo vya Wayne na birdman hadi wanapelekana mahakamani wayne anadai pesa 50m dollar kwaajil ya uzulumat wa birdman na kupunja kulipa hela wasaniii wake na kukataa kuachia albamu ya Wayne Carter 5 adi birdman anatuma vibaka Ku mshoot Wayne kwake .Baada ya birdman kuona ana loose sana ndo akaomba msamaha kwa Wayne hadi wapo pamoja saizi lakin ilikua ni vita .Tatizo hizi record rebel (management) huwa zinawapunja wasaniii mapato yao ya show na kuwakandamiza ndo maana ata mavoko akatoka They only want profit through artists na sio vinginevyo ndo maana ata Drake Tyga Nick DJ khaleed walijitoa Cash money kutokana na uzulumat Mkubwa wa bwana birdmanLil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Kuna sehem nimeona kwamba mmakonde amekataa kugeuzwa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Movie ya mavoko party two.
Kuna sehem nimeona kwamba mmakonde amekataa kugeuzwa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
My friend u seee you seee. Wale watu sio wazuri akimbie haraka
Kuna sehem nimeona kwamba mmakonde amekataa kugeuzwa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi hapo na mm nikapasomeKuna sehem nimeona kwamba mmakonde amekataa kugeuzwa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli mkuu hizi record label ziko kwa ajili ya kutengeneza faida tu, na msanii akishaona amekua super star na ana fan base kubwa hawezi kuendelea kukaa tena, anaona bora ajitoe atakachopata kinakua ni chake peke yake ya nn kugawanaWw hujafuatilia vikumbo vya Wayne na birdman hadi wanapelekana mahakamani wayne anadai pesa 50m dollar kwaajil ya uzulumat wa birdman na kupunja kulipa hela wasaniii wake na kukataa kuachia albamu ya Wayne Carter 5 adi birdman anatuma vibaka Ku mshoot Wayne kwake .Baada ya birdman kuona ana loose sana ndo akaomba msamaha kwa Wayne hadi wapo pamoja saizi lakin ilikua ni vita .Tatizo hizi record rebel (management) huwa zinawapunja wasaniii mapato yao ya show na kuwakandamiza ndo maana ata mavoko akatoka They only want profit through artists na sio vinginevyo ndo maana ata Drake Tyga Nick DJ khaleed walijitoa Cash money kutokana na uzulumat Mkubwa wa bwana birdman
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo ngoma zake hata haziitaji kiki.Dili done [emoji736] kwa KIKI ya ngoma yake mpya ambayo anatoa mwezi wa 2-2-2019.
Endelea kutoa promo
Sent from my iPhone using JamiiForums
He is far better than Diamond.Huyu dogo ngoma zake hata haziitaji kiki.
Nyimbo za Hamrmonize zinajiuza zenyewe bila kiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
the most disrespectful comment i've ever seen.He is far better than Diamond.
swadakta mkuu, japo konde boy anajitahidi kuprove kwamba anaweza but bado hajafikia level za kumuweka chini diamond ambaye ndo amemuonesha funguo za mafanikio kimuziki....lazima mondi apewe heshima yake na am sure siku harmonize analeta dharau kwa WCB kama alivyofanya Mavoko ndo anguko lake nae litapoanzia...Harmonize's success in music is nothing without diamond's hand!the most disrespectful comment i've ever seen.
Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.
Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.