Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Kwahiyo bashite asinge ongea vile leo kusingekua na uzi wa kumuhusu harmonize.
Usinikumbushe ya qboy msafi aliondoka kwa mbwembwe wcb saiv analia anaomba arudi.
Qboy na Harmonize viwango viwili tofauti, umbali uliopo ni sawa na mbingu na ardhi
Yote tisa Harmonize hapaswi kua na nadharau, Boss ni Boss tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.

Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.

Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...

ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na mawazo kama haya, ila sasa kiasi umenidhibitishia.
 
Lil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Ww hujafuatilia vikumbo vya Wayne na birdman hadi wanapelekana mahakamani wayne anadai pesa 50m dollar kwaajil ya uzulumat wa birdman na kupunja kulipa hela wasaniii wake na kukataa kuachia albamu ya Wayne Carter 5 adi birdman anatuma vibaka Ku mshoot Wayne kwake .Baada ya birdman kuona ana loose sana ndo akaomba msamaha kwa Wayne hadi wapo pamoja saizi lakin ilikua ni vita .Tatizo hizi record rebel (management) huwa zinawapunja wasaniii mapato yao ya show na kuwakandamiza ndo maana ata mavoko akatoka They only want profit through artists na sio vinginevyo ndo maana ata Drake Tyga Nick DJ khaleed walijitoa Cash money kutokana na uzulumat Mkubwa wa bwana birdman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu mwaka jana ndio nyota yake ilianza kuonekana.. na akibaki WCB dee hatakubali kupitwa nae..

Mwisho wa siku watajiju

Sisi atupe muziki muzuri
Kama mwanzoni..
 
Ww hujafuatilia vikumbo vya Wayne na birdman hadi wanapelekana mahakamani wayne anadai pesa 50m dollar kwaajil ya uzulumat wa birdman na kupunja kulipa hela wasaniii wake na kukataa kuachia albamu ya Wayne Carter 5 adi birdman anatuma vibaka Ku mshoot Wayne kwake .Baada ya birdman kuona ana loose sana ndo akaomba msamaha kwa Wayne hadi wapo pamoja saizi lakin ilikua ni vita .Tatizo hizi record rebel (management) huwa zinawapunja wasaniii mapato yao ya show na kuwakandamiza ndo maana ata mavoko akatoka They only want profit through artists na sio vinginevyo ndo maana ata Drake Tyga Nick DJ khaleed walijitoa Cash money kutokana na uzulumat Mkubwa wa bwana birdman

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli mkuu hizi record label ziko kwa ajili ya kutengeneza faida tu, na msanii akishaona amekua super star na ana fan base kubwa hawezi kuendelea kukaa tena, anaona bora ajitoe atakachopata kinakua ni chake peke yake ya nn kugawana
 
He is far better than Diamond.
the most disrespectful comment i've ever seen.

Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.

Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.
 
swadakta mkuu, japo konde boy anajitahidi kuprove kwamba anaweza but bado hajafikia level za kumuweka chini diamond ambaye ndo amemuonesha funguo za mafanikio kimuziki....lazima mondi apewe heshima yake na am sure siku harmonize analeta dharau kwa WCB kama alivyofanya Mavoko ndo anguko lake nae litapoanzia...Harmonize's success in music is nothing without diamond's hand!

Kimsingi WCB ukiondoa diamond ambae ndo baba lao kwa kila kitu anayefata ni mtoto wa kwanza Harmonize...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom