Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile no management is wcb ni kijiweni pale kazi wanafanya kiushkaji huyu konde naskia anakunja maana saivi mpambe was boss ni malomboso dogo kachukua nyota yake yakuwa bampa to bampa na bosi mondiLil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Boss hajitambui anaendekeza umalaya na kusahau majukumu yakeHarmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake
Hlo Ndio tatizo!!! Na kinacho wabeba wasanii WA wcb cio kwamba wanaimba sana Hapana bl fanbase ya diamond na ukitaka Kuamin hilo Mwangalie mavoko alikua na fane base kubwa Sana pale wcb alivyo toka ht nyimbo akitoa mtu hupati amasa kwenda kusikiliza km kwl dogo ana Nia Hyo anataka kupotea Na kingine m namuona akiimba mwenyewe anaimba vizur tofaut ukimshilikisha Angalia nyimbo zote za nje unajiuliza mbn akiimba mwenyewe ana imba vizur Kwa nn Hukuni kweli mkuu hizi record label ziko kwa ajili ya kutengeneza faida tu, na msanii akishaona amekua super star na ana fan base kubwa hawezi kuendelea kukaa tena, anaona bora ajitoe atakachopata kinakua ni chake peke yake ya nn kugawana
i like your finishing if you want to kill a dog gibe it a bad name then shoot it,buh kusema ukweli uwezi kuwa mjanja kuliko baba yako hata uone umemea aje,bdo your dad ndo simba,so hata harmonize afanye aje Diamond ndo baba yake,btw this days hatumskii Rich mavokoHii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.
Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...
ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction fahari ni Diamond pekee,hata huku Kenya tunatambua Diamond n am sure hata nigeria na SA wanatambua Diamond bado harmonize mtoto,akitaka kuisha kimziki ajaribu kutoka wasafi,ndo atajua si bure diamond huitwa simba na shibudi shibudeAshamzidi boss wake, na kwa mwaka 2018 kamfunika kabisa domo!
Mafahari wawili hawakai zizi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy deserves credits and it is due time to go get them.the most disrespectful comment i've ever seen.
Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.
Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mawazo yako tu hayo baada ya kuvimbiwa kiporo!
[emoji122][emoji122][emoji122] hapo sasathe most disrespectful comment i've ever seen.
Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.
Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.
Bado ni ndoto?Ndoto za alinacha!
Harmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake