Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Lil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
Ile no management is wcb ni kijiweni pale kazi wanafanya kiushkaji huyu konde naskia anakunja maana saivi mpambe was boss ni malomboso dogo kachukua nyota yake yakuwa bampa to bampa na bosi mondi
 
Leteni odds za weekend tuweke mikeka haya mengine hayatusaidii
 
Harmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake
Boss hajitambui anaendekeza umalaya na kusahau majukumu yake

Binafsi naona harmonize hawez kushuka kirahis na soon hata rayvan atasepa ile management yao ovyo kabisa huku yupo mnyonyaji fela ( waulize yamoto na tmk alichowafanyia) huku yupo tale (alikimbia tiptop ) na yule mwarabu wa Moro . ksma unataka kufika mbali harmonize ni muda wake kusimama mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi zengwe za makonda sio bure!
Hata ukiwafuatilia kwenye social media zao Jamaa kwasaaa kama hana ule ukaribu sana na wenzie!

Huenda wanataka kumtumia bashite kumuadabisha!

Wacha tuone muda utatuletea majibu ya kweli
 
Kama dogo Harmonize akiaamua kujitoa katika lebo ya WCB na kusimama mwenyewe ni jambo zurisioni ubaya wake. Ni kujipanga tu na kuwa na mipango mizuri kupitia yeye anaqeza toa ajira kwa vijqnq wengine. Hakuna ulazima wa kuendelea kuwa chini ya management ya WCB ikiwa anaweza kusimama mwenyewe. Level aliyofika diamond hivyo msanii yoyote anaweza kuifikia na hata kuzidi level hiyo.
 
ni kweli mkuu hizi record label ziko kwa ajili ya kutengeneza faida tu, na msanii akishaona amekua super star na ana fan base kubwa hawezi kuendelea kukaa tena, anaona bora ajitoe atakachopata kinakua ni chake peke yake ya nn kugawana
Hlo Ndio tatizo!!! Na kinacho wabeba wasanii WA wcb cio kwamba wanaimba sana Hapana bl fanbase ya diamond na ukitaka Kuamin hilo Mwangalie mavoko alikua na fane base kubwa Sana pale wcb alivyo toka ht nyimbo akitoa mtu hupati amasa kwenda kusikiliza km kwl dogo ana Nia Hyo anataka kupotea Na kingine m namuona akiimba mwenyewe anaimba vizur tofaut ukimshilikisha Angalia nyimbo zote za nje unajiuliza mbn akiimba mwenyewe ana imba vizur Kwa nn Huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.

Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.

Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...

ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...



Sent using Jamii Forums mobile app
i like your finishing if you want to kill a dog gibe it a bad name then shoot it,buh kusema ukweli uwezi kuwa mjanja kuliko baba yako hata uone umemea aje,bdo your dad ndo simba,so hata harmonize afanye aje Diamond ndo baba yake,btw this days hatumskii Rich mavoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashamzidi boss wake, na kwa mwaka 2018 kamfunika kabisa domo!
Mafahari wawili hawakai zizi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction fahari ni Diamond pekee,hata huku Kenya tunatambua Diamond n am sure hata nigeria na SA wanatambua Diamond bado harmonize mtoto,akitaka kuisha kimziki ajaribu kutoka wasafi,ndo atajua si bure diamond huitwa simba na shibudi shibude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the most disrespectful comment i've ever seen.

Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.

Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.
The guy deserves credits and it is due time to go get them.
 
the most disrespectful comment i've ever seen.

Diamond amekuwa kwenye form miaka 10 mfululizo, harmonize amekuwa na mwaka mmoja tuu mzuri kama mwaka juzi ulivyokuwa kwa aslay mnaanza dharau, hata his biggest hit songs kafanya na diamond kuanzia 'bado' na 'kwangwaru' bado style ya kuimba kila kitu 90% ni diamond.

Diamond deserves to be respected sio wa kumlinganisha na harmonize.
[emoji122][emoji122][emoji122] hapo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom