Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi.

Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema sana kuwa anakuwa bonge, mpaka akaona aibu akaanza kushinda njaa na kufanya mazoezi makali, Sasa mwili umeisha.

Nimekuja kugundua kumbe comment za mashabiki wanasoma, Sasa hata hata ile Inshu ya kusema Harmonize anatamba mtaani Diamond atakuwa anajua.

Sasa Harmonize asaidie wengine diet yake

Bado Ms. Piggy. Huyu must be in her menopause years by now, hata afanye nini haitasaidia.. She looks like a sack of potatoes.
 
Hata watangazaji wengi wa taarifa ya habari kwenye tv hawavai viatu. Sometimes wanapiga pensi na kandambili tu, sema kwa vile wanatonyesha koti tu sisi hatuwezi kujua
 
Back
Top Bottom