Kumbuka mimi ni mwalimu mabinti wamenizunguka kwa nini niokote buguruniUnaweza kuta upo sawa na mimi, mademu wote tiliopita nao ni wale wa usiku Buguruni type. Mwache afaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka mimi ni mwalimu mabinti wamenizunguka kwa nini niokote buguruniUnaweza kuta upo sawa na mimi, mademu wote tiliopita nao ni wale wa usiku Buguruni type. Mwache afaidi.
Hahaha....Poa tutakupa salam zetu umfikishie R. Kelly muda ukiwadia.Kumbuka mimi ni mwalimu mabinti wamenizunguka kwa nini niokote buguruni
Gari kubwa dereva MtotoAnaendesha gari zito mchezoo
Nyama za shishi zipo maeneo mengine hayapunguiBasi waliomsema wamseme na shishi kidogo.
Sikuhizi ameongeza jina la don mmojaNaona kama kaifanya Signature yake kujitofautisha... Anaipenda balaa
Basi wamseme PeterMsechuNyama za shishi zipo maeneo mengine hayapungui
Yote majibu ## sigereti...supergetHivi kutoa sauti hiyo huwa anamaanisha:-
-kupaliwa na moshi wa sigereti?
-kupaliwa na vumbi na pafyumu?
-kuifurahia sigereti?
-amemeza kinanda?
-au anaitangaza sigereti?
Unamaanisha nini!!?Anaendesha gari zito mchezoo
Bado shilole minyama,He looks sexy!
Kiswahili cha akina sisi wazee.Yote majibu ## sigereti...superget
BakhresaSikuhizi ameongeza jina la don mmoja
Bado Ms. Piggy. Huyu must be in her menopause years by now, hata afanye nini haitasaidia.. She looks like a sack of potatoes.Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi.
Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema sana kuwa anakuwa bonge, mpaka akaona aibu akaanza kushinda njaa na kufanya mazoezi makali, Sasa mwili umeisha.
Nimekuja kugundua kumbe comment za mashabiki wanasoma, Sasa hata hata ile Inshu ya kusema Harmonize anatamba mtaani Diamond atakuwa anajua.
Sasa Harmonize asaidie wengine diet yake