Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kwani kwa bongo nani anamzidi?Kwa nini hasimbanie?
Kumbuka pia show hiyo hiyo Diamond atakayombania Harmonize kimataifa akienda kuimba mwenyewe atapata mapato, and at the same time ataendelea kuonekana bado anakubalika na atazidi kujijenga internationally kwa hiyo lazima ambanie, issue hapa sio mapato tu, issue hapa ni mapato+ kuzidi kujijenga kimataifa
Kumbuka Diamond anapenda kick na anapenda kuonekana yupo juu zaidi ya binadamu yoyote , atafanya whatever it takes ili aonekane hajachuja
Mi pia nimemshangaa huyu jamaa[emoji38][emoji38][emoji38], hiyo ni sawa kukata tawi mti uliokalia. Yaani umbanie msanii wako show za pesa ndefu, kwa maana hiyo Diamond hataki hela au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unambania msanii ambaye akipiga show una percentage yako HOW?
HOW unambania msanii ambaye umewekeza muda na hela yako ili upate faida?
Ila muda utaongea hizi nyingine chai.Uzuri wa JF unajifunga na maneno yako mwenyewe uliyo yaongea nyuma.
Hii thread yako tunayo muda ukifika tutakukumbusha.
Diamond kama angekuwa na mawazo kama hayo ya UBINAFSI leo hii kusingekuwa na WCB,wala Harmonize.
Hizo exposure si ndo zinazidi kumuingizia Mond/WCB hela au?Show ina exposure ya mambo mengine pia siyo pesa tu