Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kwani kwa bongo nani anamzidi?Kwa nini hasimbanie?
Kumbuka pia show hiyo hiyo Diamond atakayombania Harmonize kimataifa akienda kuimba mwenyewe atapata mapato, and at the same time ataendelea kuonekana bado anakubalika na atazidi kujijenga internationally kwa hiyo lazima ambanie, issue hapa sio mapato tu, issue hapa ni mapato+ kuzidi kujijenga kimataifa
Kumbuka Diamond anapenda kick na anapenda kuonekana yupo juu zaidi ya binadamu yoyote , atafanya whatever it takes ili aonekane hajachuja