Harmonize kusepa WCB: Alibaniwa matamasha mengi ya pesa ndefu kuliko Diamond

Harmonize kusepa WCB: Alibaniwa matamasha mengi ya pesa ndefu kuliko Diamond

Kwa nini hasimbanie?

Kumbuka pia show hiyo hiyo Diamond atakayombania Harmonize kimataifa akienda kuimba mwenyewe atapata mapato, and at the same time ataendelea kuonekana bado anakubalika na atazidi kujijenga internationally kwa hiyo lazima ambanie, issue hapa sio mapato tu, issue hapa ni mapato+ kuzidi kujijenga kimataifa

Kumbuka Diamond anapenda kick na anapenda kuonekana yupo juu zaidi ya binadamu yoyote , atafanya whatever it takes ili aonekane hajachuja
Kwani kwa bongo nani anamzidi?
 
Kuendelea kumtaja taja kwa kumuhusisha saaana na waajiri wake wa zamani ni kama kujaribu kumfanya aendelee kuwa relevant courtesy of his former allies.Muacheni ajaribu kusimama mwenyewe.just hope the results won’t be fatal
 
Unambania msanii ambaye akipiga show una percentage yako HOW?

HOW unambania msanii ambaye umewekeza muda na hela yako ili upate faida?

Ila muda utaongea hizi nyingine chai.Uzuri wa JF unajifunga na maneno yako mwenyewe uliyo yaongea nyuma.

Hii thread yako tunayo muda ukifika tutakukumbusha.

Diamond kama angekuwa na mawazo kama hayo ya UBINAFSI leo hii kusingekuwa na WCB,wala Harmonize.
Mi pia nimemshangaa huyu jamaa[emoji38][emoji38][emoji38], hiyo ni sawa kukata tawi mti uliokalia. Yaani umbanie msanii wako show za pesa ndefu, kwa maana hiyo Diamond hataki hela au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom