Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kwa Kutumia Majina ya Harmonize, Jeshi Au Tembo?Afanye kweli Sasa Asiishie kutoa vitisho tu, Kama akikomaa Kuna pesa nyingi Sana hapo atazipata toka kwa hao maboya endapo watafikishwa mahakamani na itatoa Funzo kubwa sana
Sijui maybe alishakwenda mahakamani kuyatumia katika shughuli zakeKwa Kutumia Majina ya Harmonize, Jeshi Au Tembo?
Ebu Tulitazame hili Kwenye angle ya sheria,Sijui maybe alishakwenda mahakamani kuyatumia katika shughuli zake
Na hata hivyo ushahidi wa sura yake iliyo sambazwa siupo
mshamba sana huyo dogo acha afundishwe adabu kidogo, uzuri wanampiga pazuri kwenye rizki yeye anavuna mayowe hahaahhahahammakonde kaja town juzi juzi tu. Anataka kuwapanda kichwani wajanja waliozaliwa town. Na safari hii atarudi mtwara kwa mguu.
Yaani hapo wamempiga penyewe msumari nchi 8Ataweza kuithibitishia Korti Pasi na shaka kwamba Hiyo mashine ya kusaga na kukoboa sio yake??Labda Kama Ni kuwakomoa tu walio na wanaosambaza Ila sidhani Kama anaweza kujisafisha kwa namna yoyote Katika Hili.
Rayvanny alificha picha, sasa sijui atathibitishaje? Rayvanny anaweza kumshtaki Harmonize kwa tuhuma za uongo na kumchafua kwenye jamii. Managers wake ni viazi sana ina maana sasa hivi ndio wanashtuka kuwa hivi vitu sio vizuri kwa msanii wao.Tuliwaambia anaucheza muziki wa WCB na tukahoji management yake kama inajitambua watu mkapiga kelele oooh ana dudu kubwa kwa hiyo amewafunika WCB...Leo ndio wanastuka zile picha zinaweza kuwa kaburi lao la kufanya kazi na watu wa maana wao walifurahi kelele za mashabiki maandazi.
Rayvanny mpaka sasa kaonyesha ukomavu mkubwa na vita yake kaicheza kwa akili nyingi bila mihemko ya mitandaoni.
Hya aendelee sasa kupokea sifa za dudu kubwa za mashabiki maandazi. πππππ
sijui huko mahakamani anaenda kushtaki kitu gani wakati picha karekodi mwenyewe na kasambaza mwenyewe au anafikiri mpka vitu vinapelekwa mjini watu awakuangalia angle ya sheria mmakonde kwisha kaziiiiiii πππππππππ
Mkuu mimi sio mwanasheria naelewa tu aspects za contract law, tort (ni mambo ambayo yanafundishwa kwenye masomo ya biashara) na admin law just because itβs straight forward.Ebu Tulitazame hili Kwenye angle ya sheria,
Na Je Harmonize, Tembo, Jeshi yamekuwa registered trademark names Yeye Kujimilikisha?