Tuliwaambia anaucheza muziki wa WCB na tukahoji management yake kama inajitambua watu mkapiga kelele oooh ana dudu kubwa kwa hiyo amewafunika WCB...Leo ndio wanastuka zile picha zinaweza kuwa kaburi lao la kufanya kazi na watu wa maana wao walifurahi kelele za mashabiki maandazi.
Rayvanny mpaka sasa kaonyesha ukomavu mkubwa na vita yake kaicheza kwa akili nyingi bila mihemko ya mitandaoni.
Hya aendelee sasa kupokea sifa za dudu kubwa za mashabiki maandazi. 😀😀😀😀😀
sijui huko mahakamani anaenda kushtaki kitu gani wakati picha karekodi mwenyewe na kasambaza mwenyewe au anafikiri mpka vitu vinapelekwa mjini watu awakuangalia angle ya sheria mmakonde kwisha kaziiiiiii 😛😛😛😛😛😛😛😛😛