Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

Harmonize is a natural person while simba is not. Simba Board of Trustees is registered by RITA.
Wewe mbumbumbu unajua kitu gani wewe!?
Entities zinasajiliwa sehemu tofauti tofauti.
Kuna kitu kinaitwa Trade Mark unakijua!?
1. Unawajua COSOTA
2. Unawajuwa BRELA
3. Unawajua BASATA
Nenda kapitie huko usome sheria za huko kisha urudi na ujinga wako hapa.
 
Jamaa amemtafuta mtu anaitwa Harmonize kwenye hizo taasisi na si vinginevyo. Jina la harmonize sio trade mark ila ni business name. Swali je amelisajili? Linaweza kusajiliwa?
 
Harmonize Hana ubavu huo , alishangilia kujibizana nao, kumbe wenzake wamemchora kitambo na yeye akachochora , eti linauliza ni kibamia au tango 😀😂 mashabiki nao wakampaaaa oooh tangoooo ..... Mpak wenzake wakalitonya oyaa mwamba unaharibiwa brand ndo likazinduka et lazimaaaa niakashitaki 😀😀😀 Too late
 
mmakonde kaja town juzi juzi tu. Anataka kuwapanda kichwani wajanja waliozaliwa town. Na safari hii atarudi mtwara kwa mguu.
Watu lazima walijue hilo.
Kila mahali kuna wenyeji, usijikweze utashushwa, ikibidi hata kibabe[emoji23][emoji23]
 
Jerome Msemwa ni mwanasheria mkubwa hapa mjini.
Kuna utofauti ya Mwanasheria Mkubwa na Mwanasheria mwenye Jina kubwa. Labda ungetuletea hapa Amesimamia wateja wangapi kashinda ngapi na kashindwa ngapi.. na Alisimama na Akina nani?? Binafs sina ushabiki wa hizo team but naona huyo Mwanasheria wako Mkubwa kachemka labda kama tu anataka kutengeneza mazingira ya Kupiga hela kwa huyo msanii.
 
Kutibitisha hilo,aweke dick yake halisi tulinganishe na ili iliyopo kweny mtandao ili tujue mbich na mbivu maana hapa amawachanganya dada zetu insta...ni akili zangu tu za asubuh zimenituma iv
 
Hujui chochote wewe.
Unanipotezea muda.
Mkuu ebu tusaidieni sisi tusiokuwa na elimu ya sheria, tupunguze kuminyana. Ebu tupe elimu ya trademark na Business names [emoji120][emoji120]
 
Mawakili wetu ndio hawa jamani.

"Tutadai mabilion ya fedha". Sasa sijuh fedha ndio nini katika kuvunjiwa eshima.. siku harmo atakuja kupigwa kidole utasema utadai billions.. kama kweli ndio wakili wa harmo.. hamna mtu hapo
 
Elimu Elimu Elimu ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…