Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.

Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza.

Na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!

20220716_091017.jpg
 
Kibongo bongo sawa Harmonize katake over hilo halina ubishi...

Ila kuhusu Wembley umeamua tu kujitoa ufahamu au hujui unachosema...

Hapo Wembley Capital fm huwa wanapiga promo miez miwili mfululizo na kuweka wasanii wakubwa uk na us ndo wanajaza huo uwanja..

Wasanii wapambane angalau waingize nyimbo kwenye chart kubwa dunia kama akina DML na Ckay.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Ukubali ukatae ila jwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley uingerezaView attachment 2292390 na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!

Huyu jamaa kumbe naye ni chawa kho kho kho
 
Back
Top Bottom