ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Desemba sio mbali mdau......Ukubali ukatae ila jwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
AaShow zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley uingerezaView attachment 2292390 na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!