Desemba sio mbali mdau......Ukubali ukatae ila jwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
AaShow zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley uingerezaView attachment 2292390 na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!
Kiki izo mdauYukoje Vzr Kipesa wakati ameshindwa Kulipa Hela Ya Kodi Ya Eng. Usiri.... Sifa za Kijinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sijajua kuwa na wewe ni chawaUkubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza.
View attachment 2292390 na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!
Hayo mambo waachie babalevo na Mwijaku mkuuUnayumba mdogo wangu!
Kajala unajitahidiUkubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza.
View attachment 2292390 na huenda akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuujaza!
🤣🤣🤣🤣Kajala unajitahidi
Harmonize ametulia kama jina lake HARMONY walahi [emoji257]