Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea.
WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha.
Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga wamewajaza mpaka mashabiki zao.
Hongera Harmonize umewaprove wrong wamepambana sana kueneza chuki dhidi yako, ili watanzania wakuchukie lakini wamefeli.