Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mkono tushindane.Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea.
WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha.
Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga wamewajaza mpaka mashabiki zao.
Hongera Harmonize umewaprove wrong wamepambana sana kueneza chuki dhidi yako, ili watanzania wakuchukie lakini wamefeli.
😂😂😂😂Kwani we umeona Harmonize kafanya Kitu gani kikiubwa baada ya kutoka WCB
Wmbo wenye views Zaid ya 20m[emoji777]
Collaboration Kali ya nje [emoji777]
Album iliyofanya poa[emoji777]
Mambo aliyofanya vizuri baada ya kutoka WCB
MIHADARATI [emoji3581][emoji3581]
Kiki[emoji3581][emoji3581]
Kujaza watu show Mtwara arena ...[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji736]
Kulia kwenye media[emoji3581][emoji3581][emoji736]..
JeshiiiiiiiiiiiiiJeshi kapambana..nilidhani atakufa kifo cha mende kama Rich Mavoko
Lakini bado kwa kiasi chake amefanya poa tu..