Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea.

WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha.

Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga wamewajaza mpaka mashabiki zao.

Hongera Harmonize umewaprove wrong wamepambana sana kueneza chuki dhidi yako, ili watanzania wakuchukie lakini wamefeli.

 
Kwani we umeona Harmonize kafanya Kitu gani kikiubwa baada ya kutoka WCB

Wmbo wenye views Zaid ya 20m[emoji777]

Collaboration Kali ya nje [emoji777]

Album iliyofanya poa[emoji777]

Mambo aliyofanya vizuri baada ya kutoka WCB

MIHADARATI [emoji3581][emoji3581]

Kiki[emoji3581][emoji3581]

Kujaza watu show Mtwara arena ...[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji736]

Kulia kwenye media[emoji3581][emoji3581][emoji736]..
 
Tafuta hela UCHAWI HAUTOKUTOA.
 
Kwa mujibu wa biblia..Labani ni mwizi wa mali ya mpwa wake na mkwewe aitwaye Yakobo, ni baba mkwe tapeli kwa kifupi.

Soma hapa👇Yakobo akiongea na wakewe;

6 Nanyi mmejua ya kwamba kwa nguvu zangu zote nimemtumikia baba yenu.
Mwanzo 31:6

7 Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwacha kunidhuru.
Mwanzo 31:7
 
Tangu tuanze kuhesabu imepita mwaka sasa karibu miaka miwili lakini jamaa yupo tu .

Anakufa kimuziki lini sasa?
 
Punguza chuki utakufa masikin unaona kondeboy hakuna alilofanya Leo hii .hujui kitu
 
Mbona kafanya mengi makubwa!
acha roho ya kunguni ww utapasuka msamba
 
Kila mtu na mambo yake, acha kuwapa lawama wcb kwa mambo ya kijinga
 
Acha roho mbaya
 
Shogaa angu konde alikukopa anuani ya makazi? Hakulipia kibao cha jina la mtaa wako? Mbna uko bitter sana? Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshi kapambana..nilidhani atakufa kifo cha mende kama Rich Mavoko

Lakini bado kwa kiasi chake amefanya poa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…