PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29.
==================
Harmonize ameongea na wanasema hawaendi kwenye show Zake tuache kuwaombea msamaha kwani kabla ya kuimba yeye alikuwa mcheza mpira

Kwanza sasa hivi uzuri Gen Z wanatoa nyimbo zao wenyewe na zinatrend Africa nzima.

Uzuri zaidi Msanii wao namba 1 ni Samia wakifuatiwa na wengine kama madelu na msoga. Wanamsubiri atoe maboko kwenye hotuba kisha wanaingia studio na Ngoma zinakuwa Kali kuliko bongo flavor zao.

Kuna Ngoma Kali ya bongo flavor kushinda "Nywi nywi nywi"?

Africa nzima Nywi nywi nywi limetrend bila media tours Wala kuboost YouTube mpaka wahenga wamekataa kuamini.
 
Wasanii hawaamini kinachoendelea na hii ndio december mwezi wa kuokota kwenye show za mwisho wa mwaka. Wakiwaza january ile wanachanganyikiwa
Kuna mwanangu mmoja Arusha akaniambia kwenye show ya Nandy tarehe 19 ataenda na mfuko wa mavi ya nguruwe mixer na ya binadamu walevi ambao atavundika ndani siku 5.

Siku ya tukio atarusha mfuko wake mbele kwenye stage kama zawadi.

Nikamwambia apunguze ukatili. Hiyo itakuwa too much.

Kwa ninavyomjua lazima atafanya kweli.
 
Anastahili kufanyiwa hivyo mkuu kwa haya yaliyotokea na wakakaa kimya.
 
Back
Top Bottom