PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza sasa hivi uzuri Gen Z wanatoa nyimbo zao wenyewe na zinatrend Africa nzima.

Uzuri zaidi Msanii wao namba 1 ni Samia wakifuatiwa na wengine kama madelu na msoga. Wanamsubiri atoe maboko kwenye hotuba kisha wanaingia studio na Ngoma zinakuwa Kali kuliko bongo flavor zao.

Kuna Ngoma Kali ya bongo flavor kushinda "Nywi nywi nywi"?

Africa nzima Nywi nywi nywi limetrend bila media tours Wala kuboost YouTube mpaka wahenga wamekataa kuamini.
Kuna ile Ngoma ya GUYZ na nyingine ya WHO ARE YOU ni noma.
 
Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29.
==================
Harmonize ameongea na wanasema hawaendi kwenye show Zake tuache kuwaombea msamaha kwani kabla ya kuimba yeye alikuwa mcheza mpira

Chawa tu kama chawa wengine, anatuletea use*nge wa eti nobody was against the government before 29th-Oct is he deaf, blind and dumb?
Akafi*rwe kama wanaodhalilishwa kwa kufirwa na kina Mafwele then arudi na clip-mavi nyingine.
IMG_20251203_181938.jpg

 
Back
Top Bottom