PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bado akaizindua kwa kumulika ingawa Album ilibuma. Show za kampeni alipiga mpka uapisho alimalizia.Huyu wakwetu ila ni Chawa!
Show kapeleke Zanzibar safari hii.

Anajifanya kuongea kama mmarekani na kiingereza chake cha ugoko, yule Nangumene ana mtindio wa ubongo
 
Anajifanya kuongea kama mmarekani kiingereza chake cha ugoko, yule Nangumene ana mtindio wa ubongo
Hivi kwanini WaBongo huwa wanaiga slang za Kimarekani? Yaani hata kama Kiingereza chenyewe hajakimaster vizuri bado atajitia kuongea kama waMarekani.
 
Bhana wewe aibu naonaga mimi, kuna video za Diamond anahhojiwa kwenye podcasts hata dakika mbili nimeshindwa kuangalia. Kuna hii moja kaweka miguu juu ya meza anajifanya kuongea kama kazaliwa New York kumbe mshamba wa Kongowe
 
😂😂😂
 
Anakimenya kimarekani balaaa
 
Attachments

  • almasdigitaltz_20251213_7.mp4
    1.8 MB
Wakati bado wanauwawa yeye alienda kuimba huko jeshini. Hawa watu wapuuzi sana. Mimi si mwanasiasa bali ile kitu wa kuuwawa watu bado inaniumiza sana. Sikupoteza mtu kwenye familia lakini kwa kweli tulipoteza watu wengi wenye nguvu. Ikiwamo watumishi
 
Bro tena waliopoteza maisha ni vijana wadogo sana
 
Bhana wewe aibu naonaga mimi, kuna video za Diamond anahhojiwa kwenye podcasts hata dakika mbili nimeshindwa kuangalia. Kuna hii moja kaweka miguu juu ya meza anajifanya kuongea kama kazaliwa New York kumbe mshamba wa Kongowe
 
Wakati bado wanauwawa yeye alienda kuimba huko jeshini. Hawa watu wapuuzi sana. Mimi si mwanasiasa bali ile kitu wa kuuwawa watu bado inaniumiza sana. Sikupoteza mtu kwenye familia lakini kwa kweli tulipoteza watu wengi wenye nguvu. Ikiwamo watumishi
Hata Mimi mpaka muda huu nimejaa hasira Sana , kwa MTU mwenye akili timamu hawezi hata post ujinga wa haws malaya wa samia ,kwa unyama ule aisee haikubaliki ,hata miili ikafichwa na kuzikwa Kama mahayawani na kuchomwa moto kiwanda cha cement wazo hill
 
Aisee napata hasira ninapoona kum@ anayeandika mada za kusympacize na huu ushenzi au kupongeza hii regime ya vibaka wanaoongoza kama maharamia na ambao hawana ridhaa ya kutoka kwa wananchi
 
Back
Top Bottom