Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Alitoa mpaka Album ya nyimbo za bimkubwa tuHuyu alienda mbali zaidi hadi siku ya uapisho Kule jeshini aliimba.
Kwa kifupi huyu ni kama alitukejeri kwa kilichotokea. Hana mamlaka ya kuongea chochote juu ya watanzania kwa sasa.
Afunge bakuli lake.
Huyu kiazi kitamu kama viazi vitamu wengine.Alitoa mpaka Album ya nyimbo za bimkubwa tu
Siyo huwa ana-twerk?Atuache aendelee kushake
Kuna mwanangu mmoja Arusha akaniambia kwenye show ya Nandy tarehe 19 ataenda na mfuko wa mavi ya nguruwe mixer na ya binadamu walevi ambao atavundika ndani siku 5.Wasanii hawaamini kinachoendelea na hii ndio december mwezi wa kuokota kwenye show za mwisho wa mwaka. Wakiwaza january ile wanachanganyikiwa
Anastahili kufanyiwa hivyo mkuu kwa haya yaliyotokea na wakakaa kimya.Kuna mwanangu mmoja Arusha akaniambia kwenye show ya Nandy tarehe 19 ataenda na mfuko wa mavi ya nguruwe mixer na ya binadamu walevi ambao atavundika ndani siku 5.
Siku ya tukio atarusha mfuko wake mbele kwenye stage kama zawadi.
Nikamwambia apunguze ukatili. Hiyo itakuwa too much.
Kwa ninavyomjua lazima atafanya kweli.