PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Afanye tu viburi vimezidi
 
Katika kitu siwapendi ni maskini kutoboa maisha.

Maskini ana matatizo sana ndio maana waangalie wasanii wengi wametoka maisha mabovu.
 
Katika kitu siwapendi ni maskini kutoboa maisha.

Maskini ana matatizo sana ndio maana waangalie wasanii wengi wametoka maisha mabovu.
Mzee wangu alikuwa anapenda kuwaita masikini (watoto wa peasant).Wanaongozwa na falsafa ya fisi .
 
Reactions: Fbn
Mzee wangu alikuwa anapenda kuwaita masikini (watoto wa peasant).Wanaongozwa na falsafa ya fisi .
Ni kweli kabisa.Nilishawahi kumsaidia kijana mmoja kumpa maisha alokuwa choka mbaya ila kumvusha tu sasa ndio anataka kunifukuzisha kazi
 
Nipe namba nimtumie hela ya mifuko, ajaze vifuko vingi vingi.. awe na group la watu kadhaa kila mmoja akirusha vifuko 10, jukwaa litapendeza na show itanoga.
 
Akafie mbele, huyu ndio alitumbuiza siku ya uapisho
 
Baada ya shows kubuma ndio anakumbuka kwamba watu wana maumivu? Mbona hawawazi haya kabla ya kuandaa hizo show zenyewe?
 

Huyu mbana pua December 29 imefika lini!

Anajiongelesha lugha inayofanana na Kiingereza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…