Bado akaizindua kwa kumulika ingawa Album ilibuma. Show za kampeni alipiga mpka uapisho alimalizia.Huyu wakwetu ila ni Chawa!
Show kapeleke Zanzibar safari hii.
Hivi kwanini WaBongo huwa wanaiga slang za Kimarekani? Yaani hata kama Kiingereza chenyewe hajakimaster vizuri bado atajitia kuongea kama waMarekani.Anajifanya kuongea kama mmarekani kiingereza chake cha ugoko, yule Nangumene ana mtindio wa ubongo
Hivi kwanini WaBongo huwa wanaiga slang za Kimarekani? Yaani hata kama Kiingereza chenyewe hajakimaster vizuri bado atajitia kuongea kama waMarekani.
πππBhana wewe aibu naonaga mimi, kuna video za Diamond anahhojiwa kwenye podcasts hata dakika mbili nimeshindwa kuangalia. Kuna hii moja kaweka miguu juu ya meza anajifanya kuongea kama kazaliwa New York kumbe mshamba wa Kongowe
Anakimenya kimarekani balaaaBhana wewe aibu naonaga mimi, kuna video za Diamond anahhojiwa kwenye podcasts hata dakika mbili nimeshindwa kuangalia. Kuna hii moja kaweka miguu juu ya meza anajifanya kuongea kama kazaliwa New York kumbe mshamba wa Kongowe
Anakimenya kimarekani balaaa
Wakati bado wanauwawa yeye alienda kuimba huko jeshini. Hawa watu wapuuzi sana. Mimi si mwanasiasa bali ile kitu wa kuuwawa watu bado inaniumiza sana. Sikupoteza mtu kwenye familia lakini kwa kweli tulipoteza watu wengi wenye nguvu. Ikiwamo watumishi
Bhana wewe aibu naonaga mimi, kuna video za Diamond anahhojiwa kwenye podcasts hata dakika mbili nimeshindwa kuangalia. Kuna hii moja kaweka miguu juu ya meza anajifanya kuongea kama kazaliwa New York kumbe mshamba wa Kongowe
Anajitekenya πππππππNaona kifutu anajipendekeza kimtindo Ili asamehewe.
Hata Mimi mpaka muda huu nimejaa hasira Sana , kwa MTU mwenye akili timamu hawezi hata post ujinga wa haws malaya wa samia ,kwa unyama ule aisee haikubaliki ,hata miili ikafichwa na kuzikwa Kama mahayawani na kuchomwa moto kiwanda cha cement wazo hillWakati bado wanauwawa yeye alienda kuimba huko jeshini. Hawa watu wapuuzi sana. Mimi si mwanasiasa bali ile kitu wa kuuwawa watu bado inaniumiza sana. Sikupoteza mtu kwenye familia lakini kwa kweli tulipoteza watu wengi wenye nguvu. Ikiwamo watumishi
Analeta janja janja akifikiri watu hawatambui.Anajitekenya πππππππ