Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
watu wanaumbuka tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wanaumbuka tuuu
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana
Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz
Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano
Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvan ame jibu acha uongoHarmo alipost ngoma ya tetema kwenye kurasa yake ya ig lakini bado naamini pia harmonize hwako sawa na wcb haswa diamond maana baada ya post si diamond wala rayvanny aliye-react kwa kujibu au kulike post.
Karma is the female dog. Diamond waliomtoa wote kazinguana nao Papaa misifa, Bob Junior, Ali Salehe, Ruge Mutahaba, suka, majizzo dullah,na yeye ni mda wake naye kuzinguliwa
Tunashukuru kwa taarifaHakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana
Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz
Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano
Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueTatizo domo anapenda kuabudiwa sana
Ila harmo anamzid domo sana kipaj cha kuomba ndio tatizo
Eti kaendekeza ulevi,walitaka awe kitombi kama domo ili asionekane mlevi?domo kinachomsaidia ni kupenda k#$ma kupita maelezo,ndio ulevi wake ,vinginevyo angekuwa anapiga gambe na bange kama wengine
Harmonize toka awe na Sara hajambato k nyingine,ila domo daily anabadilisha k kama aliletwa duniani kumbato tu
Amkumbuke marehemu k Wa bongo muvi,kwani Mungu kamwe hamfichi mnafki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebana eeh .. ilikuajw hiiPale WCB kuna majungu sana mfano ishu ya mwarabu fighter kuondoka ni baada ya kumtandika ngumi ROMY JONES.Lakini wao wakaigeuza kiki kuwa mzungu wa Harmo anatoka na mwarabu fighter
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale WCB kuna majungu sana mfano ishu ya mwarabu fighter kuondoka ni baada ya kumtandika ngumi ROMY JONES.Lakini wao wakaigeuza kiki kuwa mzungu wa Harmo anatoka na mwarabu fighter
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ilikuwaje mpk Mwarabu fighter akamdunda Romy jones? [emoji23][emoji23]