Harmonize na Diamond kuna dalili hawapo closer kama zamani kuna tatizo

Harmonize na Diamond kuna dalili hawapo closer kama zamani kuna tatizo

Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana

Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz

Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano

Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using Jamii Forums mobile app

Acha ulongo kijana
 
Attachments

  • Screenshot_20190204-141519.png
    Screenshot_20190204-141519.png
    177.5 KB · Views: 39
Wewe bado unaishi kwenu? Labda uwe under 18 ameshakua ni muda wa kusaka kivyake mambo ya kufatanafatana kulambana miguu na boss vimeisha sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kashakua ana uwezo wa kusimama mwenyewe sasa.

Wala hamna tatizo.
 
Harmo alipost ngoma ya tetema kwenye kurasa yake ya ig lakini bado naamini pia harmonize hwako sawa na wcb haswa diamond maana baada ya post si diamond wala rayvanny aliye-react kwa kujibu au kulike post.
Karma is the female dog. Diamond waliomtoa wote kazinguana nao Papaa misifa, Bob Junior, Ali Salehe, Ruge Mutahaba, suka, majizzo dullah,na yeye ni mda wake naye kuzinguliwa
Rayvan ame jibu acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana

Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz

Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano

Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa taarifa
 
Tatizo domo anapenda kuabudiwa sana
Ila harmo anamzid domo sana kipaj cha kuomba ndio tatizo
Eti kaendekeza ulevi,walitaka awe kitombi kama domo ili asionekane mlevi?domo kinachomsaidia ni kupenda k#$ma kupita maelezo,ndio ulevi wake ,vinginevyo angekuwa anapiga gambe na bange kama wengine
Harmonize toka awe na Sara hajambato k nyingine,ila domo daily anabadilisha k kama aliletwa duniani kumbato tu
Amkumbuke marehemu k Wa bongo muvi,kwani Mungu kamwe hamfichi mnafki

Sent using Jamii Forums mobile app
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Growth is inevitable amekua mkubwa tayar haitaji mentorship ya mondi aachwe huru aongeze competition Kwanza hawa king music sio washindani kabsaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom