Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Huu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Sio Harmonize pekee mwenye hili tatizo, zaidi ya asilimia 89 ya Wasanii wakibongo wenye Followers wengi mitandaoni wanatatizo la kuandika, sio Diamond ama Alikiba.

Ndiyo maana kuna wakati tulishauri hapa JF kwamba sio vibaya hawa jamaa wakaajiri Social and Content Managers walau wawe kama maAdmins kwenye accounts za mitandao yao.
 
Mmoja anataka kiki muziki uende mwingine aongeze viewership kwenye reality TV show yao. Mbaya zaidi, Harmo hajawahi pata power couple kama aliyopata na Kajala maana hata ya Wolper haikuwa na hype kwa sababu, yeye alionekana kama anabebwa, vilevile kajala toka enzi za P funk, hajawahi kupata hype kama aliyoipata na harmo. Wote wanatumiana tu, no hard feelings zaidi ya biashara
 
Hawa watu ujanja wanaotumia niwakizamani sana, yani sura zao na maumbo yao wamegeuza mtaji Kwa wajinga wa mjini.

Leo wapo na Marioo kesho utaskia wapo Kwa rayvanny kesho kutwa Kwa harmonize, na huku kote wanaenda kuchuma na kuondoka

Hawa tukiwaendekeza hawatatafuta kazi halafu tutakuwa na taifa la wasiozalisha chochote kile.
1691665965259.jpg
1691665956941.jpg
1691665960726.jpg
 
Watu wa rap hawaiti kuchamba wanaita kuchana nyinyi wa taarabu kule MakunduChi iteni kuchambawima

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww
Huyo kachamba, hajachana lolote hapo huyo mmakonde yeye aseme anataka gari lake linamuuma

Ningeshangaa maex wa ki Tz muachane kistaarabu bila hekaheka za kutoleana shit subutu
 
Back
Top Bottom