Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww
Huyo kachamba, hajachana lolote hapo huyo mmakonde yeye aseme anataka gari lake linamuuma

Ningeshangaa maex wa ki Tz muachane kistaarabu bila hekaheka za kutoleana shit subutu
Nakuacha alafu unaenda kuniita CHIZI sasa ngoja nikuonyeshee UCHIZI wangu ulivyo natema nyongo 😆
 
Sio Harmonize pekee mwenye hili tatizo, zaidi ya asilimia 89 ya Wasanii wakibongo wenye Followers wengi mitandaoni wanatatizo la kuandika, sio Diamond ama Alikiba.

Ndiyo maana kuna wakati tulishauri hapa JF kwamba sio vibaya hawa jamaa wakaajiri Social and Content Managers walau wawe kama maAdmins kwenye accounts za mitandao yao.
Ila kwa Harmonize amezidi kiasi cha kuonekana kama anaigiza
 
Mmoja anataka kiki muziki uende mwingine aongeze viewership kwenye reality TV show yao. Mbaya zaidi, Harmo hajawahi pata power couple kama aliyopata na Kajala maana hata ya Wolper haikuwa na hype kwa sababu, yeye alionekana kama anabebwa, vilevile kajala toka enzi za P funk, hajawahi kupata hype kama aliyoipata na harmo. Wote wanatumiana tu, no hard feelings zaidi ya biashara
Huyo maza ana reality show? Channel gani?
 
Nakuacha alafu unaenda kuniita CHIZI sasa ngoja nikuonyeshee UCHIZI wangu ulivyo natema nyongo [emoji38]

Sasa kwann asimuite CHIZI km anaacha watoto wenzie anaenda kuku kuruka na watu ambao kunyoa vuzi mpk nyembe 2 [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata mimi ningemuita CHIZI FRESH
 
Sasa kwann asimuite CHIZI km anaacha watoto wenzie anaenda kukuruka na watu ambao kunyoa vuzi mpk atumie nyembe 2 [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata mimi ningemuita CHIZI FRESH
Duuuh na wewe vuzi lako unatumia nyembe ngapi kulinyoa?
 
Mmoja anataka kiki muziki uende mwingine aongeze viewership kwenye reality TV show yao. Mbaya zaidi, Harmo hajawahi pata power couple kama aliyopata na Kajala maana hata ya Wolper haikuwa na hype kwa sababu, yeye alionekana kama anabebwa, vilevile kajala toka enzi za P funk, hajawahi kupata hype kama aliyoipata na harmo. Wote wanatumiana tu, no hard feelings zaidi ya biashara
Kwa sababu wabongo upenda hizi mambo so kwao ni biashara
 
Back
Top Bottom