Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hakupi vyote fikiria wewe umepewa mwandiko mzuri ila ni choka mbayaUkweli ninkwamba siwezi kusomaga miandiko na hati ya harmonizer
Punguza ukorofi Mjukuu, unajua machawa wao tunaoa humu ujue 🤪labda huwa zinadondoka kabla hawajatupostia 😀 😀
Uwe unaniita, maana nakosa ubuyuu siku hizi, sijui nimeanza kuzeeka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo kumbe ya moto eeh sijui kwa nini sina Mb nakosa ubuyu
Enheee mtoa mada ongeza screenshot tusafishe macho.
Wamefadhiliwa Sana na konde, alishampa minoti baba yake mzazi, duka lile kawawezesha konde, asilimia 10 za konde kazifaidi imevuja hiyo, kweli konde kachunwa, kajala bwana bwege Kama Yule hatampata wapi bongo nyoso, mwenzie mabeto kapata pa kuchuna kwingine.Yaani ni aibu[emoji2304]
Kachunwa kweli, Bora angewekeza kwa mtoto wake.Wanajisifu yeye na mtoto wake wanapesa leo Hamo katoboa siri amewajengea wazazi wa kajala huko goba ila konde anajua kuhonga aisee[emoji16][emoji16]
Ananiboa mnoooUpuuzi mtupu[emoji706][emoji706]
Wale na Mama Ake Wana maisha ya hovyooo sana Yaani hata kina Kardashians hawaishi hvyoooYaani ni aibu[emoji2304]
Mpuuzi tu si aliingia kingi Mwenyewe kajala kadate na wangapi hawajamjengea?Wanajisifu yeye na mtoto wake wanapesa leo Hamo katoboa siri amewajengea wazazi wa kajala huko goba ila konde anajua kuhonga aisee[emoji16][emoji16]
Naimani angekua jela mpk Leo Paula angekua mtoto mzuri saña yule maana angelelewa na baba AkeWale ni Wajinga sana...
Yale malezi anayompa yule Binti yake sijui amejifunzia wapi... Imagine maisha Kajala aliyoishi,Jela alipopita,Bado anataka na Binti yake naye aje apite kule kule alikopita..
Nadhani ndiyo maana P-Funk aliamua kukaa kimya..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]nimeipentaaaaHapa majirani mbona wanakoma?
Nina mchele wangu robo tatu kila siku natoka nje naupetaaa halafu naurudisha ndani nasonga zangu ugali.
Maganda ya mayai kwa muuza chipsi hapo mtaa wa pili nabeba kila siku natoa nje na taka.
Tutaelewana tu.
Hana sauti Kwa mwanaeMajani na ubabe wake wote lkn kapoa binti yake anavyolelewa na kajala hovyo hovyo
From kukodi ndege ,kupanga nyumba ya milllioni 400 mpk paleeeIla sepenga nikimuangalia nacheka sana na chibaba wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo celebs wanatuongezea sana siku za kuishi