Harmonize ni mnafiki sana

Mupunguze kutaka kupangia watu maisha.. na haswa muwache roho mbaya na wivu.. mjipe amani kwa kuwatakia wengine mema
 
Wcb for life [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yule jamaa mi mwenyewe nilikua na mfwatilia saaan tok anachukuliwa na chibuu alikua mnyenyekevu saaan yaani alikua anajifany anaheshima saana lkn alipoanza kupewa kichwa akaanza kuwa na tudharau mara kwenye show akienda anaenda na gari yake mwenyewe akat adi boss wake anapand bus moja na wasanii wengine wotee wajione wapo sawa. mwaka huu hauishi lzm matokeo tuyaone na anajivunia skuiz anashinda na akina nyandu cjui kaanza deal za madawa
 
Anapotea taratibu.

Wahuni wameshamzimia data.
 
Mbona jamaa yupo fresh tu, nimeona juzi alipokuwa anaperform london akitoa S/O kwa Diamond.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi kwelikweli
 
Wewe utakuwa na jinsia ya ke lkn umeamua kutumia jina na profile pic ya me, usipoangalia utatinduliwa kwa wivu na chuki. Unaongea km mwanamke aliyekopwa gest
 
Tuanze na unafiki wako. Kabla ya wcb,ulikuwa upande upi?.
 

Watu walioko biashara moja ni kawaida kua na wivu!

Hivyo huu wivu ni very normal animal trait!
 
Mupunguze kutaka kupangia watu maisha.. na haswa muwache roho mbaya na wivu.. mjipe amani kwa kuwatakia wengine mema
Kwanza watu wengi wakikusaidia baadaye nyodo kibao kisa kakusaidia, hata kwenye makazi tunayaona, yeye mwenyewe kasaidiwa , waliomtoa bado yupo nao, hata kwenye sherehe zake hatuwaoni kuwakaribisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…