Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Hatuangalii, hatutaki kumuongezea viewers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuangalii, hatutaki kumuongezea viewers.
Kwani unateseka?Umeiripoti kama wale wadada waomsema mtu wakiwa kibarazani, hasa pale ulipocheka
Wcb for life [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yule jamaa mi mwenyewe nilikua na mfwatilia saaan tok anachukuliwa na chibuu alikua mnyenyekevu saaan yaani alikua anajifany anaheshima saana lkn alipoanza kupewa kichwa akaanza kuwa na tudharau mara kwenye show akienda anaenda na gari yake mwenyewe akat adi boss wake anapand bus moja na wasanii wengine wotee wajione wapo sawa. mwaka huu hauishi lzm matokeo tuyaone na anajivunia skuiz anashinda na akina nyandu cjui kaanza deal za madawaKatika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.
Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha mbaya kwa wenzake waonekane kama wana roho mbaya na wabinafsi.
Tangu ajitoe WCB ,watu hawana habari naye na taratibu ameshaanza kusahaulika japo hajafikisha hata mwezi jambo ambalo linamuumiza sana roho .
Miongoni mwa vitu vinavyomuumiza roho ni kitendo cha sasa hivi kufyatua fyatua nyimbo kila kukicha lakini mapokezi yamekuwa finyu sana hata zile views zimepungua kwa kasi sana.
Jamaa anatoa nyimbo ila wenzake hawamsapoti wamemuacha apambane na hali yake, sasa anajifanya ni mwema sana kwa ku repost nyimbo za wenzake ili aonekane hana kinyongo licha ya kutosapotiwa.
He he he he na bado lazima anyooke mwaka huu, hiyo ni trela tu picha halisi bado.
WCB ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
Kitendo cha yeye kujitenga kwenye show ya wasafi na kupanda private transport ni dharau ya hali ya juu,pia kitendo cha kutoshiriki wasafi festival licha ya kushikwa mkono mpaka kufika alipofika ni ukosefu wa nidhamu sasa acha avune alichokipanda.
Anapotea taratibu.Wcb for life [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yule jamaa mi mwenyewe nilikua na mfwatilia saaan tok anachukuliwa na chibuu alikua mnyenyekevu saaan yaani alikua anajifany anaheshima saana lkn alipoanza kupewa kichwa akaanza kuwa na tudharau mara kwenye show akienda anaenda na gari yake mwenyewe akat adi boss wake anapand bus moja na wasanii wengine wotee wajione wapo sawa. mwaka huu hauishi lzm matokeo tuyaone na anajivunia skuiz anashinda na akina nyandu cjui kaanza deal za madawa
Unamaanisha nini?Shoga ni shoga tu
Hapana mkuu siteseki!Kwani unateseka?
Tuanze na unafiki wako. Kabla ya wcb,ulikuwa upande upi?.Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.
Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha mbaya kwa wenzake waonekane kama wana roho mbaya na wabinafsi.
Tangu ajitoe WCB ,watu hawana habari naye na taratibu ameshaanza kusahaulika japo hajafikisha hata mwezi jambo ambalo linamuumiza sana roho .
Miongoni mwa vitu vinavyomuumiza roho ni kitendo cha sasa hivi kufyatua fyatua nyimbo kila kukicha lakini mapokezi yamekuwa finyu sana hata zile views zimepungua kwa kasi sana.
Jamaa anatoa nyimbo ila wenzake hawamsapoti wamemuacha apambane na hali yake, sasa anajifanya ni mwema sana kwa ku repost nyimbo za wenzake ili aonekane hana kinyongo licha ya kutosapotiwa.
He he he he na bado lazima anyooke mwaka huu, hiyo ni trela tu picha halisi bado.
WCB ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
Kitendo cha yeye kujitenga kwenye show ya wasafi na kupanda private transport ni dharau ya hali ya juu,pia kitendo cha kutoshiriki wasafi festival licha ya kushikwa mkono mpaka kufika alipofika ni ukosefu wa nidhamu sasa acha avune alichokipanda.
Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.

Huo ndio unafiki wenyewe mkuu,au hujui mnafiki huwa anatabia zipi?Mbona jamaa yupo fresh tu, nimeona juzi alipokuwa anaperform london akitoa S/O kwa Diamond.
Uki ripootiiii kutoka uswahilini ni wewe Haaaaaaaansi mchanashati wa dabilyusibiiHuo ndio unafiki wenyewe mkuu,au hujui mnafiki huwa anatabia zipi?
Mawili,Kupata na kukosaRizki mafungu saba
Kwanza watu wengi wakikusaidia baadaye nyodo kibao kisa kakusaidia, hata kwenye makazi tunayaona, yeye mwenyewe kasaidiwa , waliomtoa bado yupo nao, hata kwenye sherehe zake hatuwaoni kuwakaribisha.Mupunguze kutaka kupangia watu maisha.. na haswa muwache roho mbaya na wivu.. mjipe amani kwa kuwatakia wengine mema