Harmonize ni Moto wa kuotea mbali

Harmonize ni Moto wa kuotea mbali

Harmonize pia ni tajiri wa melodies..

Nyimbo zake zina melodies ambazo hazifanani fanani sana.

Nazikubali ngoma zake..Kwenye hii "Naogopa" kamficha kinoma Marioo.
 
Wimbo wa Dounia umefanya nijue ana akili kweli. Wimbo mtam sana ila napigilia msumari kauli niliyowai kuskia kwa Diamond kuwa kwa burudan za kimataifa kutoboa usijar tungo busara bali beat na kumiliki jukwaa.

Hapa ndo diamond na squad yake kanawaacha mbali. Wimbo wa Harmo kwa tunzi na beat ni wetu tu. Ni mtazamo wang sina uteam, mana binafs sijawai kuhama kundi la rhumba na sebene!
uyo mmakonde atakuja kutuua kwa stress na hizo nyimbo zake za mapenzi

huo wimbo wa mtaje ni moja kati ya nyimbo ambazo hazijawahi tokea bongo hapa

makonde kafanya ngoma kali hatari

napenda sana pale anaposema " anayelenga kwa rula siku zote ndie apatae "

All the way up hormonize ....upo juu sana mdogo wetu
 
Kuna ule Wimbo wake anaimba hivi....

Liwalo na Liwe... sijui nini huko....Anaendelea...

That song is a whole vibe...
Keep the good Music alive Konde.
 
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde Harmonize ni mbunifu kwakweli mimi hii wimbo wake wa MTAJE bila kuangalia ujumbe imetulia sana.
Kwa uchawi pia ni moto wa kuotea mbali
 
Huyu dogo nimechelewa kumkubali...ila kwa sasa mimi ni bonfe la fan wake ndaki ndaki yani.
 
Back
Top Bottom