Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kwa Sasa si ameshatoka WCB? Why for 3 years kila siku yeye Ni WCB WCB

Afanye kazi aone Kama hajatengeneza fanbase yake Na yy

Mbona alikiba Yupo Na Anatoa Ngoma Kali Ana fanbase yake Mpaka Leo
 
Kwa Sasa si ameshatoka WCB? Why for 3 years kila siku yeye Ni WCB WCB

Afanye kazi aone Kama hajatengeneza fanbase yake Na yy

Mbona alikiba Yupo Na Anatoa Ngoma Kali Ana fanbase yake Mpaka Leo
Wewe huoni watu wanaomuattack harmo hata baada ya kutoka WCB, Baba levo, juma lokole, alisitote, Issa Azam, middle Simba, au wewe unapenda asemwe yeye tu lakini yeye asiseme
 
Msukule, hivi kwani huyo Domo ni mungu kwamba hatakiwi kuambiwa akiwakosea watu.

Hivi vijana akili mmepeleka wapi ?
 
Harmonize Ana force kushindanishwa na Diamond apo ndo anakosea saana Diamond ni mkubwa kuliko Harmonize, Diamond mshindani wake ni Ali kiba na Sio Harmonize. Mmakonde atulie saana mda wake bado kushindana na Diamond.
 
Harmonize Ana force kushindanishwa na Diamond apo ndo anakosea saana Diamond ni mkubwa kuliko Harmonize, Diamond mshindani wake ni Ali kiba na Sio Harmonize. Mmakonde atulie saana mda wake bado kushindana na Diamond.
Mimi nadhani Diamond labda kama anashindana na kina Davido, Wizkid and likes, lakini kwa Tanzania kashawapiga gape ukubwa hakuna fair competition, watu huwa hawaupendi tu ukweli.
 
Hakika amefunguka

Jizuie ku_comment kabla hujamsikiliza mwanzo mwisho, ili ujue ukweli, Hizo clip mbili hapo juu zimeacha sehemu kubwa ya maelezo yake.

Asante kwa kuweka hiyo link hapo.

Nimemsikiliza Kondeboy na nimechuja pumba, chuya na mawe bado nimebaki na kama 60 - 70% mchele safi. Kuna ukweli katika maelezo yake japo limau, ndimu na chumvi havikosi kwa mbaaaaali na kapilipili.

Kuna jambo hapo, ushauri wangu kwako, watafute wote wawili ukae nao wamalize tofauti zao wakajenge nchi hayo mambo yao hayatapata mshindi na hata jamii ikijua ukweli bado haita wasaidia wote wawili zaidi ya kila mmoja kutaka kuonewa huruma na jamii na mwingine aonekane ndio mbaya.

Kaa nao tafadhari myamalize. Ni hayo tu!
 
Harmonize ni mtu wakujiliza liza sana, na ni mtu ambae anataka sana kuonewa huruma! Kulikua na haja gani ya kuonge hivo?. Au ndo alivoshauriwa na washauri wake?? Sasa kaongea kapata faida gani? Hii ni fedheha kwa msanii mkubwa kama yeye,alitakiwa kutulia na kufanya kazi
 
Sasa swali linakuja unapomrekodi mwanaume mwenzio kwenye simu malengo yako ni nini?

Je huyo Rayvanny kampa go ahead huyu mmakonde kuongea faragha zake?
 
H Baba, Mwijaku, Carrymastory, hawa kazi yao kila siku ni kumtukana Diamond na wanatumwa na nani?

Au ndo nyani haoni kundule
Basi wote wanashambuliana, hamna wa kulaumiwa kuhusu mashambulizi
 
mtu akiongea ukweli mnakimbilia mziki mmemshinda tuna na uwelewa wa kufikiri watanzania dogo jinsi alivyo kavumilia mengi.
 
Sasa swali linakuja unapomrekodi mwanaume mwenzio kwenye simu malengo yako ni nini?

Je huyo Rayvanny kampa go ahead huyu mmakonde kuongea faragha zake?
Hivi mkuu kwenu Mara au Ukerewe?

Unaonekana kama mtu fulani limbukeni, msukule na mpumbavu kama walivyo mashabiki wa Domo.

Nakumbuka miaka michache iliyoputa ulivyokuwa na THREAD yako maalum humu ya mashabiki wa Alikiba.

Au umezeeka ubongo.
 
Unajiongelesha mwenyewe kutwa na mwenyewe kaweka ukweli unataka aseme nini.

Ufanyie wenzako uhuni na usiambiwe, una mentality ya kitumwa..
 
Mimi huwa nawashangaa sana mashabiki wa kibongo,mnachokihitaji kutoka kwa msanii ni mziki wake au yeye kuwa label flani? Mimi naona mtu kuwa label flani ni swala binafsi zaidi hatupaswi kuliingilia sana kwani linalenga kumjenga msanii ili aendelee kukuburudisha zaidi. Hapo hapo WCB kuna wasanii mnawaponda hawafai kuwepo kwenye label lakini akishatoka mnaleta nongwa,embu wekeni wazi mnataka nini?
 
Watu wengi ni misukule.
 
Waache wapambane wao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Una akili timamu ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…