Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize Ana force kushindanishwa na Diamond apo ndo anakosea saana Diamond ni mkubwa kuliko Harmonize, Diamond mshindani wake ni Ali kiba na Sio Harmonize. Mmakonde atulie saana mda wake bado kushindana na Diamond.
Rayvan mnafiki wenu amekiri wazi kuwa Domo alikuwa anamuogopa konde
 
Miaka mitatu tangu atoke huko kwa msenge, tofauti na kuvimba mwili ni kitu gani amefanikisha kwa ukubwa tofauti na alivyokuwa kule? Huenda sijui chochote.
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.

Watu wanaendeshwa na emotion kwani kumsaidia mtu ndo iwe nongwa? Pumb.avu Nimesoma comment hapo mtu anaandika eti Harmo ammpe respect Mond kisa kamtoa BSS iliyomkataa, mind za namna hii ndio zinafanya Tz iwe na watu wa hovyo hovyo.

Kumsaidia mtu haijawahi kuwa ticket ya aliyesaidiwa ku-bow, nauliza wangapi humu tumesaidiwa kwa njia moja au nyingine na kwa namna hii basi tuwaheshimu na kuwasujudu waliotuvusha hata kama wanatukosea na kutuvunjia heshima...heshima goes both way heshimu uheshimiwe.

Mjifunze kubalance shobo kwenye akili zenu, kila mmoja aheshimu mwenzie, heshem uheshimiwe
 
Wapi kasema yeye mkali?
 
Rayvan mnafiki wenu amekiri wazi kuwa Domo alikuwa anamuogopa konde
Hizo voice note Rayvanny alishaliongelea muda mrefu sana kupitia interview yake na alisema yy alikuwa upande wa Mmakonde hata mbele ya Diamond mwenyewe na ni kawaida tu ndani ofisi moja wafanyakazi kuteteana hata kama wafanyakazi ndo wamefanya makosa
 
Kazi yake kolabo ambazo hazieleweki,yani awilo tunasikia kelele tu,ukirudi amapiano amecopy 90% ya wimbo wote kaongeza maneno yake machache...kiukweli anazidiwa mziki hata na marioo
Ile "Mang'dakiwe" alipita nayo yote vilevile kaongezwa vimaneno kidogo, tayari akawa Teacher.
 
Una akili nyingi sana... Kijeba wa kimakonde anatema ndoano na vita haijaaanza.
 
Sasa swali linakuja unapomrekodi mwanaume mwenzio kwenye simu malengo yako ni nini?

Je huyo Rayvanny kampa go ahead huyu mmakonde kuongea faragha zake?
Ndio maana nimesema nimechambua pumba na taka zingine. Kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni kosa, lakini haiondoi ukweli kwamba kuna mengine mengi yana ukweli humo ndani. Hasa issue yake ya mkataba. Nnachoona hapo watu wanao wazunguka wamechangia kuharibu urafiki wao.
 
Angetaka sympathy angesema haya toka alipotoka WCB, tatizo ka mungu mtu ka madale kanataka kusujudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…